Pogba aliwahi kuulizwa kuhusu kuhama United na kwenda Barcelonasawa lakini huyu mtu mweusi mwenzetu hana professionalism kabisa, ilitakiwa kukausha tu sababu kama sikosei ni jose ndiyo amemsajili pogba, Pogba anatakiwa azingatie mpira na aachane na nywele mara instagram yote kwa yote timu ya Man United wapiga kazi wachache sana
Maneno yako yametimiaHivi nikisema kuwa wewe una kila sababu na vigezo vya kuingia Au kupelekwa katikakati ya Makao makuu ya nchi (Dodoma, Milembe ) utasema Mimi ni mkorofi mkuu.
Hivi Mimi ni member humu kuanzia 2014 na wewe umejiunga May 2018 unathubutu kusema bila aibu kuwa wewe ni mkongwe humu. Mkuu kama umepatwa na mshituko wa kufukuzwa, kutimuliwa, kuswagwa kWa kocha wako kipenzi tafadhali muone daktari kabla hali haijawa mbaya. Hayo ni maoni yangu utakuja kunikumbuka.
Muhudumu Ongeza nyingine.
Kwa hisani ya yule yule swala Mou Pesa, Mou Faya. Mourinho.
Acha kutafuta sympathy wewe jibu maswali niliyokuuliza.Mkuu wewe unaelewa huyo jamaa anaetetea kitendo alichofanya sijui anafikiria nini
Poa mkuu,wasalimie kina Jimy delicious wenzioHivi nikisema kuwa wewe una kila sababu na vigezo vya kuingia Au kupelekwa katikakati ya Makao makuu ya nchi (Dodoma, Milembe ) utasema Mimi ni mkorofi mkuu.
Hivi Mimi ni member humu kuanzia 2014 na wewe umejiunga May 2018 unathubutu kusema bila aibu kuwa wewe ni mkongwe humu. Mkuu kama umepatwa na mshituko wa kufukuzwa, kutimuliwa, kuswagwa kWa kocha wako kipenzi tafadhali muone daktari kabla hali haijawa mbaya. Hayo ni maoni yangu utakuja kunikumbuka.
Muhudumu Ongeza nyingine.
Kwa hisani ya yule yule swala Mou Pesa, Mou Faya. Mourinho.
Hahaha hahahaha hahhaahahahaManeno yako yametimia
Utabiri wako umetimia
Hatimaye mgalatia wa Yombo vituka ameondoka
Hahahahahahahahahahahahahahahaha lile genre la Mourinho mgalatia limekimbia ,wengine wamebadilishia gia an gani akina RADIKA HahahahahahahahahahahahahahahahaHahaha hahahaha hahhaahahaha
Mkuu acha kabisa kuna watu nawacheki tuuuu hahahaha
Mhudumu zungusha.
Kwa hisani ya Mou Faya, Mou Pesa, Mourinho ....
ujinga sio tusi....brother....mjinga akielimishwa vizuri anakua mwelevu!Acha matusi mkuu
Hahahahahahaha hahaha hahahahaPogba aliwahi kuulizwa kuhusu kuhama United na kwenda Barcelona
Akasema anaogopa kusema jambo lolote maana ataadhibiwa
Kumbuka wakati huo huo Mou alimpa heshima ya U Vice captain (kipindi hicho). Hivi huyo mtu anaheshimu badge au is just a mercenary & gold digger.
Lakini wakati huo huo maisha ya Pogba nje ya uwanja yamekuwa yakiathiri performance yake uwanjani, na watu kama SAF alikuwa hawezi kuwavumilia.
Mkuu acha kabisa kuna wahamiaji haramu walikuwa wamevamia Viwanja visivyouzwa , wenyewe tumerudi wanasema sisi wageni ...Hahahahahahahahahahahahahahahaha lile genre la Mourinho mgalatia limekimbia ,wengine wamebadilishia gia an gani akina RADIKA Hahahahahahahahahahahahahahahaha
Mkuu nadhani wewe ni mstaarabu. Unaonekana ni mstaarabu. Nadhani hata wewe ukiitwa MAJINGA hutafurahiujinga sio tusi....brother....mjinga akielimishwa vizuri anakua mwelevu!
Bora nipoteze mechi nikiwa na Maestro Carick ambae najua atapata full support ya team na wachezaji. Kuliko kuwa chini ya Mgalilaya Mou ambae bifu kazianzisha kwa wachezaji na ushindi hatupati.Man u hakuna RANGI ambayo hamtakaa muione!!!!Eti carick ndio mrithi mpaka mwisho wa msimu
Mkuu unaelewa maana ya Cane ?? Sio ile ya Harry Kane wa Tottenham, yaani CANE. hahahahahaPoa mkuu,wasalimie kina Jimy delicious wenzio
Mi sioni point yako watashindana lakini hawatashinda mi sijawahi kushindana na wewe kumbe wewe upo kimashindano aaisee kazi ipoMkuu acha kabisa kuna wahamiaji haramu walikuwa wamevamia Viwanja visivyouzwa , wenyewe tumerudi wanasema sisi wageni ...
Huyo RADIKA nimeshamalizana nae japo alinipaga Changamoto kubwa mno ila mwisho wa siku "Watashindana lakini hawata shinda"...
Hahahahaha
Mhudumu zungusha.
Kwa hisani ya Mou Faya, Mou Pesa, Mourinho ....
Mi sioni point yako watashindana lakini hawatashinda mi sijawahi kushindana na wewe kumbe wewe upo kimashindano aaisee kazi ipo[/QUOTE
Kina watu hawajielewi humuMi sioni point yako watashindana lakini hawatashinda mi sijawahi kushindana na wewe kumbe wewe upo kimashindano aaisee kazi ipo
Nimeshangaa sana huyu jamaaKina watu hawajielewi humu
Watu tunajadili kuhusu timu yetu kumbe wengine wapo kwenye ligi (kubishana)