Mashabiki wa mourinho bnaa inamaana huoni kabisa kama mourinho ndo ametengeneza hivyo virusi kwa ujinga wake
Wewe umenuna huyo mtu alinifanya ni ichukie Madrid.Kuna watu watakula sikukuu vizuri.
#GGGMU
Ni bora muwaache wasidizi wamalize msimu tuMimi hata sijielewi, sijui nifurahi au nihuzunike.
Nahisi Zizzou anakuja kuchukua mikoba. All the best Lads.
Nadhani hunijui wewe vizuri.Halafu kumbe umejiunga 2014
Ndio unanikosoa mimi kwamba nimejiunga juzi
You are very junior kwangu in terms of JF membership mzee
Pogba amefanya kitu cha kipuuzi kwelikweli..Unprofessional kabisasawa lakini huyu mtu mweusi mwenzetu hana professionalism kabisa, ilitakiwa kukausha tu sababu kama sikosei ni jose ndiyo amemsajili pogba, Pogba anatakiwa azingatie mpira na aachane na nywele mara instagram yote kwa yote timu ya Man United wapiga kazi wachache sana
Kumbe ukifuta post ni kosa ??? That means post zisizofutwa sio kosa ???Something might be legal but unethical.
Kama ni sahihi, kipi kimemfanya afute?
Siamini kama ulazima huo wachezaji mnao mipango tu ndo shida Sanchezi au. Pogba sio wabovuNgoja tuone mkuu ila binafsi naamini ulikuwa unahitajika uwekezaj wa maana sio kocha tu bado mambo ni mengi spurs anasimama kwa sasa wana kocha yupo toka 2013
Dah umenikumbusha asee alimharibia sana huyo mzee duhKatika watu ambao wanafuraha na hii news ni Iker casillas
Kumbe wewe umeanzia kushangilia na kujadili mambo ya United humu, tena 2014 pole sanaBad thing is wewe bado Mpya kwenye hili jukwaa. Vitu vingine zama PM tukusaidie.
Narudia tena huu Mjadala umeukutia njiani. Hayo yote uliyouliza ukirudisha page za hii thread nyuma utakuta majibu mujarabu.
Watu tulikuwa tumepoa humu kwasababu tulikuwa kwenye vita vikali vya kumuondoa huyu ibilisi.
Kumbe ukifuta post ni kosa ??? That means post zisizofutwa sio kosa ???
Yaani unataka kuniambia mtu akifuta post maana yake post hiyo haikuwa sahihi.
Hahahaha Mzee wa YeeezY, alifuta sio tu post account yake Nzima ya insta na Twitter , how do you say about Yeeezy Mzee ??
Hahahahaha Muhudumu ongeza kwa hisani ha Mou Pesa.
Dah! Nimecheka san mkuu ulikua unausongo sana na JMUmejiunga Jamii forum May 2018 unaanza kudharau expert members ambao tumepitia mitikisiko mikubwa kwenye harakati zetu za kumuondoa Nduli JOSE MOURINHO.
Hatimaye tumefanikiwa unaanza kuzarau jitihada za sisi manguli ambao uwezo Wetu wa kupambana na Gaidi Mou ilitubidi tukatae nafsi zetu. Sadly hujui mijadala iliyokuwa humu mwaka Jana kuhusu mou ndio maana umerukia kuwa unatudharau. Kaa chini na wahenga upewe ABC..
2014 JF, you are just a kid to meUmejiunga Jamii forum May 2018 unaanza kudharau expert members ambao tumepitia mitikisiko mikubwa kwenye harakati zetu za kumuondoa Nduli JOSE MOURINHO.
Hatimaye tumefanikiwa unaanza kuzarau jitihada za sisi manguli ambao uwezo Wetu wa kupambana na Gaidi Mou ilitubidi tukatae nafsi zetu. Sadly hujui mijadala iliyokuwa humu mwaka Jana kuhusu mou ndio maana umerukia kuwa unatudharau. Kaa chini na wahenga upewe ABC..
Ninakupa Masaa Mawili ukanushe au uoneshe ni wapi nimeshabikia matusi kwenye huu uzi.Hivi huu ushamba wa kusema umejiunga juzi mnautoa wapi? Hivi mtu aliyejiunga juzi hana haki ya kuhoji, kutoa michango humu?
Any way, kuweka kumbukumbu sawa ID ya Mc Cane ni ya hiyo tarehe lakini wanajamii forum wamekuwa wakiona michango yangu (sio ya ID ya MC Cane) tangu kitambo sana
Pia nilikuwa sijajua kama Mourinho yupo humu JF, hongera kwa kumtumbua Mou wa JF mkuu
Pia naendelea kukushauri usishabikie matusi
Kumbe ukifuta post ni kosa ??? That means post zisizofutwa sio kosa ???
Yaani unataka kuniambia mtu akifuta post maana yake post hiyo haikuwa sahihi.
Hahahaha Mzee wa YeeezY, alifuta sio tu post account yake Nzima ya insta na Twitter , how do you say about Yeeezy Mzee ??
Hahahahaha Muhudumu ongeza kwa hisani ha Mou Pesa.
Pogba amefanya kitu cha kipuuzi kwelikweli..Unprofessional kabisa
Hivi nikisema kuwa wewe una kila sababu na vigezo vya kuingia Au kupelekwa katikakati ya Makao makuu ya nchi (Dodoma, Milembe ) utasema Mimi ni mkorofi mkuu.2014 JF, you are just a kid to me
Mkuu Pokea salamu zangu , Tunaomba msituchagulie muziki wa kucheza acheni vijana wafurahi. Usimpangie cha kupost.Tunaangalia context of the situation mkuu, pogba anajiona ndo kila kitu naona hata akija kocha mpya kazi anayo kwa huyu kiduku.