Binafsi sijawahi kumkubali lingard mbele ya mata na pogba mchezaj hawez kidrible wala kutoa assist anapateje namba?Ukiacha Pogba,Fred na Mata hakuna kiungo mwingine anayeweza kulink timu kutoka katikati kwenda mbele..Sasa kwa nini kocha asijaribu kupata ubora wa hawa wachezaji ambao wanaonekana wanapotential za kutosha..
Huyu Mourinho alitaka leo abahatishe ili kwenye press conference aanze kumnanga Pogba,sasa kachezea za uso..
Players with quality wanawekwa nyuma na wale wabutuaji ndo wanapewa nafasi..
Hatar sana mkuu de gea kaishia kulalamika anamaana kama timu ingekuwa inashambulia huu ujinga usingekuwepoMkuu watu nane mmejazana kwenye boksi, goli litafungwaje kama si deflection?
Sub ya Fella ilikuwa muhimu sana, alitakiwa angalao mtu mmoja mwenye nguvu awavuruge. Shida ilikuwa kumtoa HERRERA, kiungo imekufa bado unamtoa tena herera unaweka forward. Pambaf sana.
Hii habari ilinihuzunisha. TutapambanaNahodha wa Manchester United Antonio Valencia, 33,yuko tayari kuhama klabu hiyo ifikapo mwezi Januari mwakani, baada ya kukubali kuwa hana uwezo wa kubadili mtazamo wa meneja wake Jose Mourinho juu yake. (Mail)
Dalot anatakiwa kuanza kupambana na wakina crystal palece sio liverpool anamkaba salah mchezaj mwenye uzoef kazunguka timu kibao valencia,mata hata pogba na martail mechi ilikuwa inawahusuDalot alilegea sana, halafu alikuwa na yellow.
Matic kawa mzito kinoma..leo Liver katikati wanapita kama wanavyotaka..Naungana na wanaoshangaa Mata kuwekwa bench. Sio leo tu,hakuna mchezaji pale MUFC anayeweza kumuweka bench Juan, hayupo!
Pia Matic huu msimu umemkataa kabisa lakini unashangaa Pogba anatupiwa lawama wakati hayupo vibaya kama alivyo matic
Mkuu watu nane mmejazana kwenye boksi, goli litafungwaje kama si deflection?
Kapewa ujiko wa kijinga sanaJamani, mwenye number zake za sim, amwambie akachukue PEPSI na FEGI mbili kwa mangi ntalipa.View attachment 969961
Mechi kubwa kama hii, POGBA,VALENCIA,MATA,MARTIAL,FELLAINI wote wako benchi eti kulia kuna Darmian na Dalot ndio wapandishe mipira mbele wakapige krosihakuna krosi hata moja imetokea kulia dakika zote 90.
Ulitaka afanyaje wakati kuscore goli ndio jambo muhimu zaidi kufanya uwanjanZaidi ya goal Shaqir hajafanya lolote. But piga hao man United. Wamfukuze Mourinho.
Fred na Sanchez vipi mkuu ni wa kukaa benchi kweli?Mata na martial sio wa kukaa bench hata kwa pogba kama yule fabinho anacheza hao wanashindwaje? Uje keita hana maajabu kabaki kuvuruga players tu
Umuhimu wake nini.? Ili nani amletee mipira ya juu.?Sub ya Fella ilikuwa muhimu sana, alitakiwa angalao mtu mmoja mwenye nguvu awavuruge. Shida ilikuwa kumtoa HERRERA, kiungo imekufa bado unamtoa tena herera unaweka forward. Pambaf sana.
Binafsi sijawahi kumkubali lingard mbele ya mata na pogba mchezaj hawez kidrible wala kutoa assist anapateje namba?
Fabinho na keita wamecheza wanamaajabu gani hadi pogba na fred wakae bench au mata?
Sanchez mgonjwa ila fred inasikitisha story yakeFred na Sanchez vipi mkuu ni wa kukaa benchi kweli?
Nawaza tu fred ampate kocha kama Guardiola itakuwa2