Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man utd team! Piga hao Liverpool goli moja bila ili mjini tuwe na amani!
 
Ed woordward kashafanya yake..bado kumuongeza mkataba Jones,Young,Fellaine,Valencia,..

Good Job Ed..

Na Jose' pia muongeze mkataba hadi 2050..I don't give a fu*ck

View attachment 969244
Unataka kuniambia Ed ndio anawapa mikataba wachezaji bila Go ahead ya mwalimu ??

Smalling kupewa mkataba ni Ruksa ya Mou kubali, kataa ila huo ndio ukweli. Nyie Wanazi wa Mou mnafanya kila aina ya mbinu mou aonekane hana kosa kwa yanayoendelea pale UtD.

Ipo siku mtakuja kusema hata Mou anavyomuweka kwenye kikosi smalling badala ya "Komeo" ROJO au Bailly ni maamuzi ya Ed Woodward.

Hahahaha

GGMU.
 
Kwa sasa smalling anaperform vizuri kuliko hao unaowataja
 
Soma comment yangu vizuri Mkuu..sijawahi kuwa mnazi wa Mourihno hata siku moja

Na sitaki nijue ni nani anayehusika na utoaji wa mikataba..
 
Ngoja niwasaidie kidogo kuna kitu hamuelewi kocha anafikia huo muafaka wa kumpa mkataba smalling kufuatana na mwenendo wa usajili wa timu smalling kuanzia janauary anakuwa free kufanya mazungumzo na timu yoyote je tumenunua beki ili tumuache?

Ulikuwa sahihi sana kumshambulia ed woodward huyu kwa sasa ni kirusi

Fellain alipewa mkataba na mourinho aliulizwa kwa nini alijibu hadi muda huu sijapata nyongeza zangu za wachezaj huyu nikimuacha nafanyaje?

Huna bek bado unamshambulia mourinho kwa kumpa mkataba smalling tunataka smalling akiondoka free mata akacheze pa smalling ikiwa dirisha lililopita tulishindwa kuongeza bek wawili ambapo saiv kati ya jones au smalling mmoja angeuzwa

Mourinho yupo sahihi usajili hauleweki japo kwa sasa mbinu zake zinanikera baadhi ya mechi ila kumuachia smalling ni kosa
 
Unataka kuniambia Ed ndio anawapa mikataba wachezaji bila Go ahead ya mwalimu ??

Smalling kupewa mkataba ni Ruksa ya Mou kubali, kataa ila huo ndio ukweli. Nyie Wanazi wa Mou mnafanya kila aina ya mbinu mou aonekane hana kosa kwa yanayoendelea pale UtD.

Ipo siku mtakuja kusema hata Mou anavyomuweka kwenye kikosi smalling badala ya "Komeo" ROJO au Bailly ni maamuzi ya Ed Woodward.

Hahahaha

GGMU.
Tuna mabek wa kutosha ili tumuachie smalling au jones? Kocha aliposema anataka bek 4-5 ina maana hakuona kama smalling na jones hawatoshi?

Mwakani january anakuwa free kufanya mazungumzo na timu yoyote akiondoka tusiponunua bek lingard arud 4?

Kwa hali ilivyo hata darmian kumuuza ni tatizo na kwa umr wa smalling huwez kumpa mkataba wa mwaka mmoja.
 
Ed woordward kashafanya yake..bado kumuongeza mkataba Jones,Young,Fellaine,Valencia,..

Good Job Ed..

Na Jose' pia muongeze mkataba hadi 2050..I don't give a fu*ck

View attachment 969244
Ulikuwa sahihi sana tena 100% kumlaumu ed woodward kama tungepata 4-5 ina maana kocha alikuwa anafukuza mmoja kati ya smalling au jones

Lakini binafsi naona kabisa smalling anafaa kubak united anahitaj jemedari mmoja tu kwa nini nasema hivyo huyu huwa anasaidia kuongeza idadi ya washambuliaji tunapopiga mipira iliyokufa ni beki na ana uwiano mzur wa magoli ni timu yetu tu ipo hovyo bado smalling anatakiwa kubak united kwa kuwa huwa kuna mashindano mengi.
 
Ngoja niwasaidie kidogo kuna kitu hamuelewi kocha anafikia huo muafaka wa kumpa mkataba smalling kufuatana na mwenendo wa usajili wa timu smalling kuanzia janauary anakuwa free kufanya mazungumzo na timu yoyote je tumenunua beki ili tumuache?

Ulikuwa sahihi sana kumshambulia ed woodward huyu kwa sasa ni kirusi

Fellain alipewa mkataba na mourinho aliulizwa kwa nini alijibu hadi muda huu sijapata nyongeza zangu za wachezaj huyu nikimuacha nafanyaje?

Huna bek bado unamshambulia mourinho kwa kumpa mkataba smalling tunataka smalling akiondoka free mata akacheze pa smalling ikiwa dirisha lililopita tulishindwa kuongeza bek wawili ambapo saiv kati ya jones au smalling mmoja angeuzwa

Mourinho yupo sahihi usajili hauleweki japo kwa sasa mbinu zake zinanikera baadhi ya mechi ila kumuachia smalling ni kosa
Mimi sijapinga sana Smalling kuongezewa mkataba..Naamini hatuna beki aliyecheza vizuri kama yeye msimu huu na hata uliopita..hilo liko wazi,,Rojo, Bailly wote hawa wanafanya makosa mengi sana uwanjani..

Point yangu ilikuwa ni kuwa kwa tunakoelekea kuna uwezekano Jones,Young,Valencia wote hawa wakaongezewa mkataba..

Lakini pia kumbukeni Mourinho ndo aliyetaka Martial auzwe ila Ed Woordward akagoma..So kwa united hii naona kama Ed yupo above kwenye maamuzi mengi,kitu ambacho sio sahii
 
Ulikuwa sahihi sana tena 100% kumlaumu ed woodward kama tungepata 4-5 ina maana kocha alikuwa anafukuza mmoja kati ya smalling au jones

Lakini binafsi naona kabisa smalling anafaa kubak united anahitaj jemedari mmoja tu kwa nini nasema hivyo huyu huwa anasaidia kuongeza idadi ya washambuliaji tunapopiga mipira iliyokufa ni beki na ana uwiano mzur wa magoli ni timu yetu tu ipo hovyo bado smalling anatakiwa kubak united kwa kuwa huwa kuna mashindano mengi.
Watu huwa wanamchukulia poa Smalling ila jamaa huwa anajitahidi sana..anachokosa ni ile hali ya kuwa kiongozi pale nyuma,jamaa huwa hawapangi kabisa mabeki wenzie kama akina VVD wanavyofanya
 
Tuna mabek wa kutosha ili tumuachie smalling au jones? Kocha aliposema anataka bek 4-5 ina maana hakuona kama smalling na jones hawatoshi?

Mwakani january anakuwa free kufanya mazungumzo na timu yoyote akiondoka tusiponunua bek lingard arud 4?

Kwa hali ilivyo hata darmian kumuuza ni tatizo na kwa umr wa smalling huwez kumpa mkataba wa mwaka mmoja.
Umesahau dirisha la usajili lililopita alimuweka sokoni rojo ??? Hiyo logic inabid iwe applied na kwa rojo pia !!!

Ndio tuna mabeki wachache lakini huyo huyo akamuuza Beki blind , Anyway labda niseme tu Mou hana anachojua nimekuwa nikilisema hilo miaka na miaka na msimamo wangu ni ule ule.
 
Kwa sasa smalling anaperform vizuri kuliko hao unaowataja
Acha kuchekesha umati wewe, unamzungumzia smalling huyu huyu wa Manchester United au Mbeya city mkuu.

Nikwambie tu smalling hata team ya taifa ya England amekuwa haitwi kutokana na ubora wa mabeki bora wanaoitwa timu ya taifa (Harry Maguire (Leicester city ) , Gomes ( Liverpool) n.k.

Ubora wake tungeanza kuuona huku kwenye kugombea namba timu ya taifa.

GGMU.
 
Umesahau dirisha la usajili lililopita alimuweka sokoni rojo ??? Hiyo logic inabid iwe applied na kwa rojo pia !!!

Ndio tuna mabeki wachache lakini huyo huyo akamuuza Beki blind , Anyway labda niseme tu Mou hana anachojua nimekuwa nikilisema hilo miaka na miaka na msimamo wangu ni ule ule.
Mimi ni Shabiki Nguli wa Simba watatu( Three Lions). Timu ya taifa ya Uingereza. Niliwahi kuwaambia watu siku tukipata kocha akamtimua smalling kama beki wa kati tutafika mbali mnoooo. Najua unajua mziki wa Maguire na Gomes pale kati kwenye world cup.

Smalling Mzito kama kafungwa Kinu mgongoni
 
kwa mawazo yangu:
mwili wa chris smalling unastahili kupewa mkataba mpya wa muda mrefu lakini kiwango chake hakistahili kupewa mkataba wa muda mrefu.

kwa nini mwili wake?
kwa sababu ndiye mlinzi wetu pekee mwenye uhakika wa kucheza mechi 20 mfululizo, unapokuwa na timu inayojengwa na tyre za hakiba kama victor lindeloff, eric bailly, phil jones, na marcos rojo ni dhambi kubwa sana kutokumpa mkataba mnono chris smalling.

tukija tupande wa pili wa shilingi kitendo chake cha kuwa na afya njema kwa miaka 3 mfululizo hakumfanyi chris smalling awe ni miongoni mwa walinzi bora nchini Uingereza na ulimwenguni kwa ujumla, licha ya kwamba ndio mchezaji wetu mwenye uhakika wa kuingia kikosi cha kwanza baada ya david de gea lakini bado chris smalling hajafikia lile hitaji tunalolitamani mashabiki wa manchester united, ina maana na yeye pia ni sehemu ya tatizo na ushahidi wa hilo msimu huu amecheza mechi 13 kati ya 16 tulizoruhusu magoli 26.
  1. smalling huyu anayecheza kila siku man utd hamuwezi kimpira maguire ndio maana hana nafasi hata uingereza
  2. smalling huyu anayecheza kila siku man utd hamuwezi savic, koulibaly
  3. smalling huyu anayecheza kila siku hamuwezi jan vertoghen au alderweireld wote kutoka tottenham hotspurs.

kiupande wangu nadhani kama tumedhamiria kusuka upya kikosi hususani eneo la ulinzi basi ashley young na chris smalling wanapaswa kuwa ni wachezaji wa mwisho kupewa mkataba mpya.
klabu itafanya makosa makubwa sana kama itawapa mikataba mipya wachezaji kama vile matteo darmian, phil jones na marcos rojo kwa sababu miili yao na viwango vyao ni empty set.
  • nimemtaja marcos rojo kwa sababu ya afya yake
  • nimemtaja phil jones kwa sababu ya afya yake na kiwango chake
  • nimemtaja matteo darmian kwa sababu ya kiwango chake hatupi faida kubwa kwenye ushambuliaji.
1544954325554.png
 
View attachment 969620
Umemaliza kila kitu
 
Back
Top Bottom