Herrera hawezi kumuweka benchi Pogba, Hererra sijawahi kuwa convinced kuwa ni mbunifu. Ubunifu ni jambo la msingi sana kwa viungo, Pogba anawaweka benchi watu sababu ni mbunifu, anaweza kufunga akipata nafasi, kwa mashuti mazuri sijamuona mchezaji wa Old Traford anaemfikia kitu ambacho majority ya viungo hata wazuri duniani hawana kipawa hiki kwenye kushoot