Mnaotoka nyuma ndo mmejamba.Aseno wengi wanajamba jamba Tu
Hapana arsenal wadhaifu sana jose kaishiwa mbinu walahi asepe sasa japo mabek wamezingua2-2 MOURINHO IN!!
Mumfunge nani na hicho kikosi. Always come back eti ushinde tuhubutu.Game ilkua poa sana,, ingawa naamini tulistahili kushinda.
Hapana arsenal wadhaifu sana jose kaishiwa mbinu walahi asepe sasa japo mabek wamezingua
Fellain na pogba hata sikuona mchango wao kawarudisha mchezon nyie
Hapana arsenal wadhaifu sana jose kaishiwa mbinu walahi asepe sasa japo mabek wamezingua
Fellain na pogba hata sikuona mchango wao kawarudisha mchezon nyie
Bahati gani na ww goli zote umezawadiwaMnabahati sana leo
Ila endeleeni kukaa huko huko mtaa wa 10
Hii mechi ilikuwa ya valencia over dalot mata over lingard na fred angafanyiwa subAnother one point
The positive from today's match, TEAM SPIRIT was super
Observation:
We really need a £ 75+mill central defender
If Rashford and Martial Trusted they can be a plus for the team
Questions
Why Fredy and/or Pereira wasn't even on a bench
Why Valencia was not in a stsrting line up
What is certain, Jose knows how to play big matches
Darmian anacheza left back ,Valencia amepigwa benchi na Dalot ambaye ulikuwa unalalamika kwa nini Mourinho hamchezeshiHuyu darmian anapataje namba mbele ya valencia????
Mzee arsenal kumfunga united ni habar nyingine labda kocha aamue kama wakina rojo wangeyajua majukum yao mlikuwa kibla kocha fala kawarudisha mchezon kwa sub ya fellain,pogba na lukaku huwezi kumuacha nje mata ni mambo ya ajabu mno nayaonaMumfunge nani na hicho kikosi. Always come back eti ushinde tuhubutu.
Point.No, sio hivyo. Mngecheza na timu ndogo mngepigwa ubaya. Hii ni all about a pride ya wachezaji kama nilivyosema jana. Since mmecheza home wachezaji waliraise a game wasifungwe na timu kubwa pinzani. Hawajacheza vizuri sababu ya Mourinho au lingine. NI PRIDE. Bottom of the line hawamtaki manager then again hawataki kufungwa na timu pinzani za siku nyingi hasa home. Forget Manchester city. Anyway tumefungwa magoli easy cheap. Arsenal bado wapo katika changes hasa defense line. Tutarudi juu muda si mrefu.
Darmian anacheza left back ,Valencia amepigwa benchi na Dalot ambaye ulikuwa unalalamika kwa nini Mourinho hamchezeshi