Ina maana hata wewe ulikuwa humjui Mourinho ?Alafu kuna ulazima wa kuzungumzia investment za timu nyingine maana leo kahamia Everton kusifia investment yao kwani sisi tunavyotoa paun mil 75 kununua mchezaji wa everton haikuwa investment..... Anaishiwa viteteo bado kazi anayo mpaka nywele zipate rangi nyeusi
Ed Woordward naye ni jipu kubwa sana..Jamaa sijui plan zao ni nini hasa..kama ni hela wanaingiza lakini as time goes mapato yataanza kudrop naaminiSuccession plan ya Man united ilifanyika kipuuzi sana ndiyo maana team imegeuka kichwa cha mwendawazimu kila mtu anajifunzia kunyoa.
Hivi vision ya Woodward kwenye hii team ni nini hasa ?
Ed Woordward naye ni jipu kubwa sana..Jamaa sijui plan zao ni nini hasa..kama ni hela wanaingiza lakini as time goes mapato yataanza kudrop naamini
Matatizo yapo mengi nje ya uwanja..Recruitment system yetu kwa miaka minne iliyopita imekuwa ni ya hovyo hovyo tu..no progression kabisa ..Heri David Gill angebakia angalau kwa mwaka mmoja huenda team isingekuwa hovyo namna hii.
Inaonekana kabisa tatizo la Man u liko nje ya uwanja na linakuja kuongezea na mapungufu ya mwalimu aliyepo ni shida tupu
Matatizo yapo mengi nje ya uwanja..Recruitment system yetu kwa miaka minne iliyopita imekuwa ni ya hovyo hovyo tu..no progression kabisa ..
Na ukiongeza na Mourinho tuliyenaye basi matatizo ndo yanazidi kuwa lukuki...
Angalia sasa saivi timu inafight ili ipate nafasi ya Europa next season..
Hii timu inanipa maumivu sana aisee...
Msimu mzima hakuna mechi tuliyocheza vizuri 90mn..
Msimu ndo ushaisha huu..sasa acha tuone Bodi ina mpango gani na hii timu..Siku hizi man u haichezi mpira bali inapiga mpira.
Team gani hauwezi kuona successive pass zaid ya tatu uwanjani unless wawe wanapiga mabeki tu.
Team inacheza zaidi ya dakika 20 haijapiga hata shot off target jamani.
Mtu akipoteza mpira anatembea tu badala ya kukaba na wanachrza slow kama wagonjwa actually man u inaboa sana kuangalia siku hizi kwa sisi tunaoangalizia vibandaumiza tunalipa hela kwenda kuangalia upumbavu na siyo mpira.
Msimu ndo ushaisha huu..sasa acha tuone Bodi ina mpango gani na hii timu..
Timu inabutuabutua tu ili eti fellaini abahatishe ashinde..No plan at all
Mourinho atafukuzwa pale itakapoonekana hakuna uwezekano wa kumaliza top 4 na mmeshashindwa kubeba UCL msimu huu. Vuteni subira.
BTW kesho kuna uwezekano wa kutunyamazisha. Historia ya Arsenal kubamizwa Old Trafford inaweza kuendelea. Na hii si kwa sababu tu ya Mourinho bali ni kwa pride ya wachezaji wenu kutotaka kufungwa na timu kubwa hasa Arsenal nyumbani.
But endapo Manchester United ikifungwa Mourinho atakuwa katika wakati mgumu zaidi hasa kwa masapota.
Mou kwa sehemu ana bahati mbaya, na kwa sehemu anajitakia "Jose out movement" kuwepo
Kitendo cha Smalling, Bailly, Lindelof, kuwa majeruhi ni bahati mbaya kwake. Pia Rojo hana match fitness, hivyo kwa jana hakuwa na namna kwenye uoangaji wa defenders
Lakini anashindwaje kupanga midfielders ambao ni attack minded, lakini ambo wana haraka (urgency) uwanjani? Anashindwaje kuwa Fred, Herrera na Pogba katikakati, au hata Pereira? Kama anashindwa kuwapanga hao dhidi ya Southampton, je atawapanga mechi ya Barcelona (UCL) kujua kama combination yao ina tija?
Kwa sehemu anaangushwa na baadhi ya wachezaji lakini sometime anajiangusha yeye mwenyewe. Siku zinavyozidi kwenda anapunguza waliokuwa wanamuunga mkono
Manchester united squad
De Gea
[emoji243] [emoji243]. [emoji243]
[emoji243]. [emoji243]. pogba
Martial [emoji208] [emoji243]