CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,685
- 1,085
Wewe amini uaminivyo boss. Kama wewe timu zenu zinafanya vibaya usitafute mchawi. Kuna watu wengi sio washabiki wa mpira mpaka leo. Sikuwagi kuwa mshabiki wa mpira. Nilikuwa naona makelele tu mnapiga. Ila kuna wachezaji nilikuwa nawasikia tu. Henry. Rooney. Drogba.Blah blah, sema wewe ulikuwa mshabiki wa timu gani, na ukaisaliti ukahamia kwa hao watoto wa juzi
Haingii akilini, kutoka ushabiki wa Wrestling mpaka ushabiki wa soka, kiufupi hiki kitu (ushabiki) huwa sio mtu overnight tu anaanza kukipenda, ni kitu ambacho mtu anakipenda tangu na tangu
Eti mimi sipendi basketball (mfano) ghafla nianze kufuatilia na kushangili NBA, eti niwe Lakers kindakindaki ..... Sidanganyiki
Mkuu tumepata funzo kwa arsenal na spurs hamna cha kupewa pesa ndefu walizikuta timu dhaifu balaa lakin zimefanya poa sana unai alichukua had bek la bure na kanunua torreira funga kaziAlaf kuna watu watakuja kumtetea Morinho humu..pamoja na upumbavu anaofanya
Mm sijuibmliwahi kitufunga sana ila mm na wewe tumekutana juzi na nimekupiga kwann nisishangilie. Tupo season mpya tuongelee season tuliyopo. Mbona mliwahi kuwapiga arsenal 8. Chelsea mpewapiga sana pia na liverpool mmewapiga sana pia ila season hii wapo juu yenu kimpira.Nyie mnajua tumeshawafunga mara ngapi, au nikuletee stats?
Anyway nitakusamehe kwa kuwa hujui usemalo, after all city umewajua juzijuzi baada ya kuhama huko ulipokuwa
Tupo season mpya lakini usinipangie cha kuongea au na mimi nikuambie tupo week mpya au mwezi mpya kwa hiyo tusiongelee yaliyopitaMm sijuibmliwahi kitufunga sana ila mm na wewe tumekutana juzi na nimekupiga kwann nisishangilie. Tupo season mpya tuongelee season tuliyopo. Mbona mliwahi kuwapiga arsenal 8. Chelsea mpewapiga sana pia na liverpool mmewapiga sana pia ila season hii wapo juu yenu kimpira.
Mkuu tumepata funzo kwa arsenal na spurs hamna cha kupewa pesa ndefu walizikuta timu dhaifu balaa lakin zimefanya poa sana unai alichukua had bek la bure na kanunua torreira funga kazi
Hapa naona mchawi ni bodi yetu kwa nini nasema hivyo ukiangalia toka academy zetu utamaduni wetu ni kushambulia kwa spidi kwa nini walimpa kazi kocha mkabaji? Je wakina tahit chong na angel gomes wakipandishwa timu ya wakubwa wanafanyaje ikiwa toka chini wanafundishwa soka la kushambulia
Nafikir Ed woordward ni mtu wa kwanza anaetakiwa kufukuzwa
Ukweli mtupu mkuu.
Mkuu Mournho bado anajenga team,huyu coach wa Arsenal ameikuta team imeshatengenezwa tayariAlaf kuna watu watakuja kumtetea Morinho humu..pamoja na upumbavu anaofanya
Mkuu King Ngwaba kwa trend hii ya Man kutufunga Arsenal jumatano Itakua ndoto, Japo mpira unadunda Ila majeruhi walionao pale nyuma sioni watatoboa vp...Arsenal alichomfanya Spurs basi baada ya dakika 90' jiandaeni Kisaikolojia hapa jinsi watakvyokuja Na Fujo lao
hakuna kikao chochote official cha bodi mpaka time hii??
Mkuu Mournho bado anajenga team,huyu coach wa Arsenal ameikuta team imeshatengenezwa tayari
Nadhani umepata salam za Arsenal uko.Akili za kuku hizi hivi unategemea bahat aliyopata sutton atakutana nayo arsenal? What a joke!!!!
Hahahaha unapanda kufunga dish unadondoka chin unavunjika kiuno halafu man united inafungwa unapata presha unakufa!! hahaha pole sana bro..Tunalipia dstv inauma pia. Leo nilitaka kuvunja kiuno kwa ajili ya kurekebisha dish ili nisikose mechi matokeo ndio hayo.
Hivi Mou aoni aibu akiangalia Manchester City inavyocheza?. Na timu yake ilivyo
Nilikuwepo mimi.Na Hata Hawa Rant Boys Wa Chelsea ukiwaangalia Backgrounds zao utakutia Washabiki Waliohama Man Unite na Arsenal mwaka 2005 kwa Kumfuata Mourinho Chelsea baada Ya Kuanzishwa Timu Hiyo mwaka 2004.
Kabla ya 2004 hapakuwa na Mshabiki Wa Chelsea Bongo kwani Chelsea ilikuwa Ni Kina group la Fulham na West Ham kwani Hata Leeds United alikuwa juu kulilo wao.
Haya wewe kumbe ulishawahi kuwa bingwa. Kumbe ulishawahi kuchukua makombe haya wewe mshindi. Sasa kwa mda huu umezeeka au mbona hufungi tena? Kiufupi wewe ni namba 1. Ni timu bora. Tena mnachukua na kombe msimu huu tena mtachukua na uefa.Tupo season mpya lakini usinipangie cha kuongea au na mimi nikuambie tupo week mpya au mwezi mpya kwa hiyo tusiongelee yaliyopita
So na mimi nakukumbusha overall kwa miaka mingi tu nimekuwa nikikutandika
Lyon nayo timu kubwa???? Kwa city hajafungwa na united?
Halafu ukiwaeleza hapa wanasema walishawahi kuifunga city zamani kipimo chao ni kuifunga city. Huyo city yupo namba 1 yeye yupo below top 4. Kiufupi city sio level yao. Mou anawashusha sana.Mou ukimpa ile Man City baada ya wiki moja itakuwa nafasi ya 5.
Yule sio kocha ni janga.
Ukimuona leo anayejiita shabiki wa Chelsea, Man city na Leicester hata Totenham juaNa Hata Hawa Rant Boys Wa Chelsea ukiwaangalia Backgrounds zao utakutia Washabiki Waliohama Man Unite na Arsenal mwaka 2005 kwa Kumfuata Mourinho Chelsea baada Ya Kuanzishwa Timu Hiyo mwaka 2004.
Kabla ya 2004 hapakuwa na Mshabiki Wa Chelsea Bongo kwani Chelsea ilikuwa Ni Kina group la Fulham na West Ham kwani Hata Leeds United alikuwa juu kulilo wao.