Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hata leicester city alitufunga 5-2 point yako ni ipi?
Point yangu tusizungumzie mechi za history. Bali tuliyokutana karibuni. Wewe unasema umenifunga na mm nakumbuka kukupiga 6. Huoni mpaka unakuja na ya leicester.
 
Kwanza unanipptezea muda kujibizana na mshabiko wa city tafuta saiz yako huko wakina spurs
Kumbe wewe sio size yangu. Naona zaiz zangu ni hao walio juu yako kina spurs. Liver chelsea arsenal. Wewe umeporomoka mbali sana. Halafu huu uzi wenu mnabushana sana eti mou ndo anawaangusha. Sio mou ninnyie wenyewe hamtaki kubishana na timu zilizo juu yenu. Ukiacha kubishana na mm utakosa mbinu na utaishia hapo hapo chini
 
Juventus
Liverpool
Buyern munich
Real madrid
Barcelona
Manchester united

giant club in europe

Kwa sasa chelsea anaingia hapo
Kwahiyo hizi ndo giant clubs.
Na ndizo zinazofanya vuzuri kwasasa au zilikuwa zinafanya vizuri?
 
Hahaha hatar sana mkuu hawa huwa ndo wale timu ikifanya vibaya wanatafuta timu inayofanya vizur
Kwel mkuu angalia usije ukawa unabishana na mtoto wa form1 maana ndo timu zao hizo man city na psg
 
Back
Top Bottom