Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Msimu huu Level Zako Leicester,Bournemouth Mkuu..

Arsenal inapambana Kutafuta top 4.Totehman anawafunga mbulula kama Man United na Chelsea...

Game na Nyie mnaodraw na Southampton wenye Goal difference ya Negative Itakua nyepesi sana kwetu..
Usipotee tu hiyo jtano yaani hiyo mechi ni kama sisi united baba nyie aseno mama hata ugomvi uwe vipi sebuleni lakini chumbani mnalainika vizuri tu
 
Sio kwa Mourihno huyu wa sasa..

Yule wa Chelsea aliyetusumbua kashafariki imebaki copy..

Umeona lini United ina goal differences ya Negative Mkuu...Yaani Mourihno muumini wa Falsafa ya kujilinda amefungwa goli nyingi kuliko alizofunga? Hata Falsafa yake imemshinda..
Usipotee tu hiyo jtano yaani hiyo mechi ni kama sisi united baba nyie aseno mama hata ugomvi uwe vipi sebuleni lakini chumbani mnalainika vizuri tu
 
Yaani United haipo kwenye mbio za Ubingwa miezi 3 baada ya Ligi kuanza? Hii sio sawa...

Yaani hata kuzuga zuga mpaka Xmass mmeshindwa? Timu inawakatisha tamaa Wengi sana..
 
Tabu iko pale pale,

Wale Wakikundi cha vibaka wanaoongozwa na kiongozi wao Jose Mourinho, naona wanajitahidi sana kuhamisha udhaifu wa Mou kwa wachezaji.

Nasema hivi msimamo wangu ni ule ule " TUTAPATA TABU SANA HADI PALE TEAM IKIJUA MCHAWI NI MOU"

Kama kawaida narudi tena msituni kuzidisha makombora ya kumtimua ibilisi huyu (Mou) ili team irudi zama zake. Endeleeni kuniombea wadau.
Alianza Moyes mkasema tatizo ni yeye, akaondoka.. Van girl naye kaondoka, sasa tatizo limekuwa ni Mou...

Mi nawambia tatizo la Man U ni Web
 
Alianza Moyes mkasema tatizo ni yeye, akaondoka.. Van girl naye kaondoka, sasa tatizo limekuwa ni Mou...

Mi nawambia tatizo la Man U ni Web
Web ni kocha ,mchezaji ? Acha story za kusadikika. Halaf hakuchezesha mechi zote za man u.
 
Rojo aliumia mazoezini jana kakaa bench hana mech fitness

Ila nnapomlaumu mourinho kwa scott over dalot hapo hata bodi itakuwa inajiuliza sana maana wametoa hela za bek unamchezesha scott fred imetolewa hela nyingi sana yupo bench kocha wa hovyo sana
 
Akili za kuku hizi hivi unategemea bahat aliyopata sutton atakutana nayo arsenal? What a joke!!!!
uzuri wake najua fika kuwa ukweli wa kitakachokutokea unaujua kwa asilimia 80 ila unavunga
 
Rojo aliumia mazoezini jana kakaa bench hana mech fitness

Ila nnapomlaumu mourinho kwa scott over dalot hapo hata bodi itakuwa inajiuliza sana maana wametoa hela za bek unamchezesha scott fred imetolewa hela nyingi sana yupo bench kocha wa hovyo sana
acha kumfananisha scott na huo upumbavu unaoitwa fredinho....scott ni level za kina GUENDOUZ
 
Back
Top Bottom