I think kinachoiponza United ni mafanikio waliyopata huko nyuma ambayo kwa kiasi kikubwa yalichangiwa na SAF ambaye alikuwa anaweza kupata mafanikio hata akiwa na average players +(Scouting ya klabu ilikuwa inafanya kazi nzuri sana) .Evra alisajiliwa kwa £5m,Vidic £12m,Van der Sar £2m so Glazers waliridhika as long wao wanaendelea kutengeneza faida kubwa nje ya uwanja.United ilimuuza CR7 kwa £80m replacement yake walikuwa Owen/Valencia / Obertan but kwakuwa alikuwa SAF still aliendelea kuchukua vizuri
Klabu nyingi sasa zina Director of Football ambaye anakuwa link kati ya top management(CEO,Owner) na technical bench na kuendelea kuhakikisha philosophy ya club inaendelea hii inasaidia hata makocha watakaopewa kazi wanakuwa hawatofautiani,
Juventus -Giuseppe Marota,Dortmund-Marc Zorc,Man City-Txiki Begiristain,Bayern-Matias Sammer/Hassan Salihamidzic,Liverpool-Michael Edward,Ajax-Overmars ,Atletico-Andrea Berta angalia hizo timu zinavyoendeshwa recently kuanzia kusajili wachezaji na makocha .Juventus miaka yote wanasajili wachezaji wazuri cheap hata wazee lakini wanakuwa na mchango mkubwa sana.Ukiangalia kuanzia Mancini,Pellegrini ,Pep hawa wote wanacheza soka la kushambulia ndio maana Kompany,Aguero,Silva,De Bruyne,Sterling,Fernandinho hawa hawakusajiliwa na Pep lakini ni wachezaji anaowategemea
Ferguson,Moyes,LVG,Mourinho (hatujui anayekuja) wote ni makocha wenye philosophy tofauti kabisa na kila kocha amenunua wachezaji wake kuna wachezaji hawawezi ku-improve kiwango zaidi ya walichonacho wameshakaa kwenye klabu zaidi ya miaka 4 Valencia,Jones,Young,Rojo,Lingard,Fellaini,Darmian,Smalling ) hata kwenye klabu walizokuwa mwanzo hawajawahi kucheza vizuri zaidi ya wanavyocheza sasa
Since miaka ya mwisho ya SAF Man City walishaanza kuwa tishio kwetu (nakumbuka wanatufunga 6-1,na tulivyowafunga 4-3 Owen anafunga goli la ushindi) tangia hapo sisi tunarudi nyuma wao wanazidi kuimarika na kama management hawataamka very soon wataanza kutuacha