Upo sahihi.mi nilisema kuwa hii klabu sasa ivi it is all about money making and not football perfomance. Na Mourinho huyu atabaki mpaka mwisho wa msimu.
Apo Woodward kashapiga hesabu zake zamani, akimfukuza Mou itamalzimiu amlipe mamilioni ya pesa, akisha aajiri manager mpya kwa mamilioni mengine, na manager mwengine akija na yeye anataka wachezaji mamalioni yanazidi kutoka! Kwaio anaona bora tucheze kamari na huyu Mou kuliko gharama zote izo.
Lakini lazima tukumbuke kuwa SAF amechukua mataji uingereza na la UEFA chini ya matajiri Glazers. Kwangu mimi Glazers sio tatizo, tatizo ni woodward na Mou na wachezaji kwa ujumla.
Na vile vile, Woodward amempa hela Mou za kutosha.... Hakuna usajili wa maana aloufanya na ameshindwa kuweka discipline kwenye timu.
Sitashangilia. Ila ntafurahi zaidi Mou akiondoka.mna wakati magumu Aiseeh...si useme tu mkiingia top 4 mtashangilia kama mmechukua kombe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]
Timu yenu kila kocha anafeli.... Inawezekana ninyi ndo tatizoSitashangilia. Ila ntafurahi zaidi Mou akiondoka.
Imekuwaje arsenal???Timu yenyewe arsenal
Sanchez, Mata, Ashley Young, lindelof, Lingad,... hao wote wana maumbo makubwa sio???.. Fikiriaga mara mbili mbili..
Amin nakwambia, Arsenal hiyo itafungwa na timu zote za top 6 plus UnitedMan hii labda iifunge Arsenal ya Wenger Mkuu sio hii ya Emery.Arsenal Ile kaondoka nayo Wenger.
Unajua maendeleo ya Gigs akiwa kocha wa Wales?kusema kweli kwa wapenzi wa mpira wa mguu ambao hawaongozwi na ushabiki wa kinafiki, MAN UTD wanachosha na kuondoa utamu wa mpira pindi wanapocheza. Mimi sijapata kujua kama viwango vya wachezaji ndo umeshuka au kocha ndo ufundishaji wake umekosa ubunifu.
Mchezaji anapata mpira unaona kabisa hajui aipeleke wapi, kwakweli imefika wakati MU waanze uwekezaji upya wenda kwa kumchukua kocha mzaliwa wa United (mfano akina Giggs and Company), wachezaji akina Rashford (amelewa sifa kwa kuaminiwa akiwa bado kijana mdogo), Lukaku, Smalling,Jones, Matic wote waondolewe United.
United ilianza kuangaika kipindi cha Van Gaal kwa mfungaji akatafutwa Ibra na Falcao bado shida ikabaki vile vile, akaja akina Lukaku na Alex mambo yanazidi kua mabaya. Ni maajabu timu imeshafungwa magoli 22 na wao wamefunga magoli 21 ndani ya mechi chini ya 11 ya Ligi kuu. Sisi wapenzi wa mpira itatupendeza zaidi Man U wakianza uwekezaji upya, hakuna cha majina makubwa kwa upande wa ukocha na wachezaji wameshindwa tayari.
Sisi wenzenu bado tunaangaika wa mfungaji asiyetupa pressure mpaka sasa tokea enzi za Torres>Demba Ba> Etto>Falcao>Costa>Drogba>Morata>Mitchuy>Gerou......Bado tunaangaika tu.
Timu nyingi bado wanamwona na kumwacha Zaha wakati anaitaji kufundishwa kitu kimoja tu kulenga goli na wakati gani wa kutoa mpira mguuni wake.
Vice versa is trueAmin nakwambia, Arsenal hiyo itafungwa na timu zote za top 6 plus United
Ki ukweli hata mimi huwa si shabiki wa Mourinho, ila huwa napenda apewe fair judgementsMech ya crystal palace kanikera sana hata bodi ilimlinda sana wenger lakin kila kitu kina tamati yake mkuu kwani mimi ni jiwe au mti nikikaa mahali siwez kujisogeza au kubadilika?
AlbaniaUnajua maendeleo ya Gigs akiwa kocha wa Wales?
In 8 matches, only 3 wins
Juzi tu ametoka kuwashwa na katimu kadogo tu huko ulaya
Ukocha ni kazi
Huwezi kumfananisha SAF na Mourinho, kiuwezo na power aliyokuwanayo juu bodimi nilisema kuwa hii klabu sasa ivi it is all about money making and not football perfomance. Na Mourinho huyu atabaki mpaka mwisho wa msimu.
Apo Woodward kashapiga hesabu zake zamani, akimfukuza Mou itamalzimiu amlipe mamilioni ya pesa, akisha aajiri manager mpya kwa mamilioni mengine, na manager mwengine akija na yeye anataka wachezaji mamalioni yanazidi kutoka! Kwaio anaona bora tucheze kamari na huyu Mou kuliko gharama zote izo.
Lakini lazima tukumbuke kuwa SAF amechukua mataji uingereza na la UEFA chini ya matajiri Glazers. Kwangu mimi Glazers sio tatizo, tatizo ni woodward na Mou na wachezaji kwa ujumla.
Na vile vile, Woodward amempa hela Mou za kutosha.... Hakuna usajili wa maana aloufanya na ameshindwa kuweka discipline kwenye timu.
How, wakati amashawashwa na City na Chelsea?Vice versa is true
Yeah, there you areAlbania
Manchester united kupoteza mchezaj mchanga hua ni ngumu sana-Kiungo wa Klabu ya Manchester United Andreas Pereira atajiunga na Klabu ya Arsenal Kwa ada ya Usajili wa £10m ikiwa Klabu ya Manchester United itamuuza katika dirisha la usajili wa mwezi wa kwanza.
Source(Daily Star)View attachment 947239
Ww ni chokambaya..., watu wanajipigia2...How, wakati amashawashwa na City na Chelsea?
Miwasho inaendelea