Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo kacheza chini ya kiwango kwa sababu ya majeruhi aliyoyapata so far lingard aliharibu muunganiko wa timu.
Mkuu kwa timu yetu kutegemea pogba atatengeneza nafasi ngumu sana na tutasubir
 
Matic kachoka sana na amekuwa mzito hasa lakini Mourinho anaendelea kumtumia kwa sababu nje hana mbadala.
Hivi mkuu ni kweli nje hana mbadala?unajua Herrera amecheza DM kwa ubora sana kabla ya matic?tena naweza kusema Matic hajafikia ubora wa Herrera wa DM.

Hata dogo Pereira amechezeshwa DM na amefanya poa sana.
 
Herera naye alichomesha siku ya game na man city.

Kilichowazi ni kwamba team imepoteza morali na muunganiko vizuri
Hivi mkuu ni kweli nje hana mbadala?unajua Herrera amecheza DM kwa ubora sana kabla ya matic?tena naweza kusema Matic hajafikia ubora wa Herrera wa DM.

Hata dogo Pereira amechezeshwa DM na amefanya poa sana.
 
Mourinho hana imani na wachezaji vijana sana. Ndiyo maana hamuanzishi Pereira unajua siku ya Chelsea kosa alilofanya dogo hadi tukasare na Chelsea
Hivi mkuu ni kweli nje hana mbadala?unajua Herrera amecheza DM kwa ubora sana kabla ya matic?tena naweza kusema Matic hajafikia ubora wa Herrera wa DM.

Hata dogo Pereira amechezeshwa DM na amefanya poa sana.
 
Solution; MORINHO AONDOKE..!! hata ukileta kikosi chote cha city plus messi neymar na ronaldo ukampa morinho lakini bado atagombana na wachezaji na kuua spirit ya timu mwisho wa siku timu itabaki kuwa mbovu vilevile..!
 
We jamaa na wewe unasema Mou aondoke? Nakumbuka ulikuwa ni mlinzi wake hasa, labda kama nimekosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…