Wewe kukuelewesha ni kazi sana. Soma komenti zilizopita utaelewaKwanini mourinho hana choice wakati man u ina pesa kuliko barca na man city?
Wewe kukuelewesha ni kazi sana. Soma komenti zilizopita utaelewa
Man Utd ana hela kuliko City lakini unajua policy ya United kwenye ku spend? Unajua policy ya City kwenye ku spend? Je unajua Sera ya Glazer kwenye matumizi?
Wewe hujawahi kuona familia ya tajiri watoto wanavaa vibaya au wanakula chakula kibaya ukilinganisha na familia ya mtu mwenye pesa ndogo/ya wastani tu?
Nani anayedanganya, wanadanganya ili iweje? City mmiliki ni tajiri, ila club si tajiri kiivyoPropaganda tu kuhonga Forbes muonekane mna pesa kumbe bure kabisa
Nani anayedanganya, wanadanganya ili iweje? City mmiliki ni tajiri, ila club si tajiri kiivyo
Kinachoongea sio vipeperushi vya Forbes, wao wana publish tu ukweli unaojidhihirisha field
Kinachoongea ni soko la hisa na factors nyingine
Huna hojaMan city haina pesa ila inanunua inachotaka wewe unapesa alafu unaleta upuuzi wa Sera za mtoto wa shangaz anaemiliki team ujinga kabisa
Mimi pia si Mshabiki wa Jose kiivyo, lakini napenda apewe fair judgement na si kumuoneaMimi sio fan wa Jose' Mourihno lakini naamini kama angepewa mahitaji yake yote kama pep anavyopewa kwa kipindi hiki cha miaka mitatu,kuna mwaka Jamaa angetupa mafanikio na kuacha timu yenye backup nzuri..
Tunadanganyana tu kuwa pep akipewa hii timu itasumbua pale uingereza..No,sidhani hivyo..lakini naimani itaimprove at some point..
Fagia Fagia inabidi ifanyike,tunawachezaji ambao washachoka na wengine ni bang average..Young,,Smalling,,Valencia,,Mc Tominay,,Jones,,Matic,,Lingard,,Raahford,,Darmian
Inabidi tujitafakari jinsi ambavyo tunafanya sajili zetu aisee..tumekuwa ovyo sana..leo unamsajili Fred then benched,,Dalot then benched..city angalia wanavyosajili..kila sajili inaingizwa kwenye timu,,angalia Laporte,Mahrez na wengine
Siku akikukuta anampumulia {}{*™€...*#_2*} ndiyo atatia adabuDogo usipende kutisha watu usiowajua. Pengine mimi ni baba yako wa kambo.
Umenianza mimi huwa namaliza yoyote anayejidai ana kashfa. Be careful.
Kwani Man U walikua wangapi uwanjani? Au walienda break kunywa maji kidgTujikumbushe tu, Goli la tatu la Man city zilipigwa pasi 44 hadi goli. Kwa wastani ni mwendo wa dakika 2-3 hakuna mchezaji wa Mufc aliegusa mpira hadi goli lilipofungwa.View attachment 932745
😂😂 nawapendaga hapk tu mkianza kuhesabu makombe yaliyo kwenye makaratasi mnasahau kabisa kama mlichapwa tatu...Hahahahaha mshabiki wa manchester city unazungumzia makombe manchester united baba lao england
Madrid ana makombe 14 ya ulaya manne kwatwaa juz sasa hayo kumi yapo mfukoni kwako? Chelsea tulia wewe huna cha kusema lazima povu la wivu likutokenawapendaga hapk tu mkianza kuhesabu makombe yaliyo kwenye makaratasi mnasahau kabisa kama mlichapwa tatu...
Mashabiki wa Man u saiz ukimwambia umefungwa anakwambia Man u ni klabu kubwa wewe... Sasa klabu kubwa unakubalije kukaa miaka yote hiyo haujachukua ligi kuu mpaka unapitwa na Leicester?
Sasa wewe leicester alipobeba wewe hukuwepo hivi kichwani zipo wewenawapendaga hapk tu mkianza kuhesabu makombe yaliyo kwenye makaratasi mnasahau kabisa kama mlichapwa tatu...
Mashabiki wa Man u saiz ukimwambia umefungwa anakwambia Man u ni klabu kubwa wewe... Sasa klabu kubwa unakubalije kukaa miaka yote hiyo haujachukua ligi kuu mpaka unapitwa na Leicester?
We mwache tu anavamia watu ovyo ovyoSiku akikukuta anampumulia {}{*€...*#_2*} ndiyo atatia adabu
Kwa hiyo Mkuu sasa hivi Leicester yupo juu ya Man Utdnawapendaga hapk tu mkianza kuhesabu makombe yaliyo kwenye makaratasi mnasahau kabisa kama mlichapwa tatu...
Mashabiki wa Man u saiz ukimwambia umefungwa anakwambia Man u ni klabu kubwa wewe... Sasa klabu kubwa unakubalije kukaa miaka yote hiyo haujachukua ligi kuu mpaka unapitwa na Leicester?
Huyu jamaa huwa anaongozwa na chuki kisha wivu unafuata fuatilia post zake huwa anapenda kuishusha timu yetu kwamba kwa kuwa chelsea kabeba makombe mawili ya epl hii miaka ya karibuni basi ni club kubwa kuishinda manchester united namuona na mshabik ambae hajakamilika si mtu wa mpira ni mtu wa roho mbayaKwa hiyo Mkuu sasa hivi Leicester yupo juu ya Man Utd
Washabiki wa United lazima wawe proud na achievements walizopata
Mashabiki wa timu nyingine hawana achievements yoyote, sasa watajisifia nini? Labda kupiga pasi.
Hako ka jamaa kameibuka baada ya city kushinda vikipigwa vinalala mbele sasa nae ni shabiki huyo mkuu?Huna hoja
Kwenye matusi umejaliwa, nafunga ukurasa wa kujadili na aliyekimbia na nguo wakati naoga, maana mimi ndio nitaonekana yeye na yeye ataonekana mimi upstairs
Mkuu ndio maana nilisema siku za nyuma, hawa mashabiki wa MEMKWA ni shida (Mashabiki wanaojielewa watanisamehe)Huyu jamaa huwa anaongozwa na chuki kisha wivu unafuata fuatilia post zake huwa anapenda kuishusha timu yetu kwamba kwa kuwa chelsea kabeba makombe mawili ya epl hii miaka ya karibuni basi ni club kubwa kuishinda manchester united namuona na mshabik ambae hajakamilika si mtu wa mpira ni mtu wa roho mbaya
Yaani mashabiki wa namna hii ni tatizo sana mkuuHako ka jamaa kameibuka baada ya city kushinda vikipigwa vinalala mbele sasa nae ni shabiki huyo mkuu?