Kwa rashford naunga mkono hojaTatizo la man u hamna wachezaji wenye hadhi ya kuwa hapo alafu pia tatizo lingine mashabiki nyie mna akili za zima moto ukimkuta mtu ana mpamba rashford utasema bonge la mchezaji kumbe hamfikii hata samagoal
Kwa video itaeleweka zaidiTujikumbushe tu, Goli la tatu la Man city zilipigwa pasi 44 hadi goli. Kwa wastani ni mwendo wa dakika 2-3 hakuna mchezaji wa Mufc aliegusa mpira hadi goli lilipofungwa.View attachment 932745
Thanks Mzee Baba kwa hii Video, nilikua naitafuta sana ila sikuipata.Kwa video itaeleweka zaidiView attachment 933391
Inasikitisha sana mwanagu wewe acha tu alafu kuna pale dk za mwisho baada ya yule dogo Foden kuingia jamaa waliwekwa dimbani wakaanza kusafa bwege mpaka mpira unaisha....Thanks Mzee Baba kwa hii Video, nilikua naitafuta sana ila sikuipata.
Dah Jamaa zetu walipigiwa mwingi sana asee.
Inasikitisha sana mwanagu wewe acha tu alafu kuna pale dk za mwisho baada ya yule dogo Foden kuingia jamaa waliwekwa dimbani wakaanza kusafa bwege mpaka mpira unaisha....
Kama unayo hicho kipande kiweke hapa pia ili wajionee wenyewe wazee wa comeback
Wakati nakitafuta kile kuta unaangalia hichi kwanza View attachment VID-20181113-WA0004.mp4
Kama unayo hicho kipande kiweke hapa pia ili wajionee wenyewe wazee wa comeback
Wakati nakitafuta kile kuta unaangalia hichi kwanza View attachment 933501
Waambie Board ifanye maamuzi kama ya RealmadridMwenendo wa timu inaleta hasira hadi kwa board..... Kwanza timu haioneshi uwezo wowote au kuleta hatari kwa wapinzani tunategemea bahati tu kushinda game nyingi......kuna wanaosema Mou hakupewa wachezaji wake.... Hebu tutajieni wachezaji wake ni wakina nani?? Maana ukiangalia uchezaji wetu hata tungepata beki 2 bado tungefungwa tu.....haiwezekani unaruhusu timu pinzani itengeneze nafasi kwa kujilalia langoni kwako ukadhani hakutatokea error yoyote..... Barça yule pique sio beki mzuri wala nini ila mpaka kumfikia pique inakuwa kazi maana Barça mda mwingi wanaandama lango la wapinzani.....
Mimi nadhani.... Managerial change ni muhimu Mwisho wa msimu.... But kumuondoa Kocha pekee sio suluhisho....tulete sport director, tucreate mfumo mpya wa scouts.... Tuwanyime mkataba hao kina young sijui Jones mara Fellaini wote tusiwape mkataba...... Tununue wachezaji 6 tu kocha mpya akipewa first target wake.... tutafika mbali sana..... Mbona Van gal na hiki kikosi alikuwa anafnya vijana wacheze mpira mwingi na hizi beki hazikuwa mbovu kama Sasa.....
Mourinho ni kocha Mzuri ila sio kwa Manchester United timu yetu inaenda kupotea tunaona inaumiza sana
😀😱
Hapo right back hamna kitu, wasajili tu. MUFC ina hela kuliko Barca halafu Full back Young na Valencia
Barca wanasajili kila msimu usajili wa maana sana
😀😱
Hapo right back hamna kitu, wasajili tu. MUFC ina hela kuliko Barca halafu Full back Young na Valencia
Barca wanasajili kila msimu usajili wa maana sana
Haaaahha ile ya UEFA ilikuwa aibu ileYes saiv zimekuja penat za steling
Hahaha hatar sana mkuu.Haaaahha ile ya UEFA ilikuwa aibu ile
Hahaha mkuu labda haujanijua vizuri..Hahaha kosa la Mourinho lipi mkuu? Wacgezaj waliopo wabovu hawaendan na brand ya Man U.
Rashford, Young, etc hawa walitakiwa wawe huko Aston Villa au Burnley na sio Man U, yani pale wachezaj wa maana wachache Degea, Pogba, Fred na Martial wengine wote hamna kitu
Tutaona kawaida hivi afu mara wanafika semi😂😂😂😂Hahaha hatar sana mkuu.
In what context🤷🏾♀️.... Maana kila mwl apo ana tactics zake, MOUH yupo anaamini kwenye mpira wa kujihami zaidi navyoona mimi.We huko Tandahimba unasema hivyo, ngoja tuone na ma-legendary wa soccer wanasemaje View attachment 934689