Yote haya matamanio na hakuna hata 1 lililofanikiwa goli 3 tumepigwa na goli 2 hatujapata..pengine usajili wa January umuhimu wa kuwa na mfungaji halisi utaonekana.Hii game ni ngumu sana kwetu tupate japo goli 2 city hawawezi kutufunga 3.
Mmh mkuu umeswaki kweli?
Kwa hiyo madrid ni timu ndogo? Timu kubwa ipi haifungwi?Nimemkia hapa kuna mtu amenichefua hapa... Yani timu inatobolewa kila siku alaf mijitu inakuja inajisifu eti ni timu kubwa... Sasa timu kubwa wakat watu wanatoboa wanavyo taka
Huyu jamaaa kaongea fact kubwa saba. Wenye upofu hawataona
MOU kachoka kuliko vijana wake... Daaah wengi wanasema zama zake zimeisha. Je, hii ni kweli? Au management iendelee kuwekeza kwenye hayo maeneo yaligundulika yana upungufu?Mkuu Mou amefeli vibaya katika upangaji wa kikosi yani utadhani Licha wa under 13
I think there is something wrong somewhere since Woodward takeover... The team became of more commercials.LvG: "Man Utd who I last coached is a commercial club. Totally different to Bayern. The bosses, like Rummenigge and Hoeness are former players who know what they are talking about. Football is the most important thing, not money like it is at United."
Katokea Mwadui FC huyu😂😂😂😂😂Kwa hiyo madrid ni timu ndogo? Timu kubwa ipi haifungwi?
Nimeangalia namba moja moja pale United sijaona anaeshindwa kuingia kikosi cha Madrid.
Madrid wanaonekana wazuri kwasababu ya mfumo mzuri wa kocha.
Unakosa nini pale united ambacho kipo Madrid?
Kila namba una mchezaji mzuri labda kasoro beki wa kulia ila kila kona imesheheni wachezaji kiwango cha dunia.
Hata ubovu wa Sanchez ni mfumo mbaya wa kocha unashindwa kumu'accomodate'.
Lukaku akiwa timu ya taifa anakuwa tofauti na Lukaku wa Old Trafford. Hujagundua hilo?
Tujikumbushe tu, Goli la tatu la Man city zilipigwa pasi 44 hadi goli. Kwa wastani ni mwendo wa dakika 2-3 hakuna mchezaji wa Mufc aliegusa mpira hadi goli lilipofungwa.View attachment 932745
Mourinho na Genge lake la wahuni naona wanaelelea kutimiza malengo yao ya kuifanya united ionekane kama Derby Country au Ruvu shooting..
Mimi nawacheki tu nabaki kusema hihihiiiiiiiii
Haya mashindano gani ?Atasumbua ELP tuu, lakini EUFA hana chake mkuu
Hahahah haters bana hapa umeonesha rangi yako halisi ya moyoni kwako de gea? Kipa yupi bora pale wa kumuweka benchi?Acha uongo hata degea hapati namba Madrid usipambe mavi maua