Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Acha kufananisha Liver na vitu vya kijinga! Enzi za Man U Vs Arsenal zilishapitwa na wakati.

Huu ni wakati wa Liver & Man city
 
unaifananisha Juve Na City Ama Kweli We Ni Daah Acha Nikae Kimya Tu
 
Atasumbua ELP tuu, lakini EUFA hana chake mkuu
 
Apewe mapumziko ya lazima .akapunguze huo mwili. Maanakanenepeana kama mdudu kuku yule anakaa aridhini ana mafuta sana. Lukaku mm mwenyewe nikicheza namba yake nita mshinda. Kabisa
Jamaa kajinenepea sana, shingo kama paja.. Nadhani ssa anakaribia 120 maana alikuja na 104[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Herrera,Matic,Lingard walikuwa mzigo sana Rashford alikuwa isolated akawa anakimbia bila msaada
Rashford na martial siwezi kuwasema hawa ukiwaangalia soka la kuzuia hawaliwezi hata mourinho afanyaje panatakiwa wapatiwe wat7 wa maana waachwe huru sio kuwarudisha nyuma kukaba muangalie rashford body language yake utagundua hafurahii huu mpango
 
Hapana Mkuu Hawajakosea pahali! Bali **** Marefa Kama Kina Howard Webb wameshastaafu! Hapo ndiyo shida ilipoanzia If only you know what I mean.
Man U iliishia pale, zile enzi za Rooney anafunga, vidic anashangilia na Web anashangilia naona ndo ziliwavimbisha kichwa, saiz sampuli hiyo ilisha shushwa jumla jumla 😂
 
Rekodi za mechi 300 za mwanzo za ligi kuu Uingereza:
[emoji3514]Jose Mourinho: Ushindi: 189
[emoji3581]Alex Ferguson: Ushindi: 183
[emoji3581]Arsene Wenger: Ushindi: 180
[emoji3581]Raphael Benitez: Ushindi: 155
[emoji3581]David Moyes: Ushindi 122

Baada ya kipigo kwa Man City, Mourinho anatimiza idadi ya magoli 230 ya kufungwa idadi ndogo kuliko kocha yeyote katika mechi 300 za awali
:
Vilabu vilivyofungwa na Jose Mourinho mara nyingi
[emoji736]Everton 10
[emoji736]Liverpool 9
[emoji736]West Ham 9
[emoji736]Crystal Palace 9

Wachezaji waliofunga mabao mengi chini ya ukufunzi wake Mourinho:
[emoji838]Chelsea: Frank Lampard 49
[emoji837]Man United: Romelu Lukaku 20
[emoji3585]Mchezaji mdogo zaidi kufunga chini ya utawala wake EPL ni Antony Martial 19
:
[emoji2402]Wachezaji waliotoa pasi nyingi za magoli chini ya utawala wake Man United:
[emoji2402]Paul Pogba 17
[emoji2402]Martial 11 :
[emoji924]Nahodha wa zamani wa England John Terry, amefunga magoli 15 kwa Chelsea akiwa chini ya Kocha Jose Mourinho kuliko beki yoyote.
 
Offering players like Young and Valencia new contracts tells us everything about where we’re at. City never offered Yaya Toure a new contract, Liverpool didn’t offer Gerrard a new contract, Chelsea didn’t offer John Terry one. We’re stuck offering bang average players contracts.
 
H

Hahahah subiri dawa iwaingie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…