nashangaa Tu Watu Kumlalamikia Kocha Eti Anafundisha Nin Huko MazoezinAchana na hizo kuna zile dakika sita za mwanzo kabla ya goli la kwanza..
Pass 119 kwa 12...
Short on Target 0
Penalty nayo huwa ni SoT?!
Imani yangu ilikuwa kwamba ndoo inaweza baki Spain, hasa kwa Barca... Sema nso kasi yao ya mashaka. Juve hana stamina ya muda ya muda mrefu. City tutampenga kwenye uzoefu ila vinginevyo wanaweza wakapeta sana.Ni kweli, ukiangalia timu zilizoko UEFA mpaka sasa City inaonekana ni moja ya timu bora, sijawaangalia Dortmund msimu huu, ila Barca wanategemea maajabu ya Messi, Madrid siwaoni, Juve kwa kiasi naye bado sijamwelewa sana.
Namwona City akisumbua UEFA, labda bahati iwakatae, ila kikosi anacho sana.
Ni kwerihakika mkuu wangeotea sare tu wangeshaanza kutangaza na ubingwa hawa
Watu wamesahau kuwa Pep alimnyanyasa Ferguson kwenye fainali mbilinashangaa Tu Watu Kumlalamikia Kocha Eti Anafundisha Nin Huko Mazoezin
Nachojua Mie Toka Enzi Ya Babu Tukikutana Na Timu Inayomiliki Sana Mpira Lazima Tunyanyaswe Mara Nyingi Babu Alikua Anapata Ushindi Kiujanjaujanja Tu
ungepigwa na Briton sawa ila hawa kuwa mpole tuNikweli mkuu wanalaumi bila kuangalia wamepigwa na nani
nashangaa Tu Watu Kumlalamikia Kocha Eti Anafundisha Nin Huko Mazoezin
Nachojua Mie Toka Enzi Ya Babu Tukikutana Na Timu Inayomiliki Sana Mpira Lazima Tunyanyaswe Mara Nyingi Babu Alikua Anapata Ushindi Kiujanjaujanja Tu
Ipi na ipi?Watu wamesahau kuwa Pep alimnyanyasa Ferguson kwenye fainali mbili
Ila pia mkuu hayo yote ni madhara ya kuruhu watu kucheza golini kwako..itakubidi wachezaji warudi nyuma na mkipata mpira hamuezi kubreak fasta kwenda mbele..We si unaona kila muda Martial anarudi kumsaidia Shaw..Tatizo hapa sio wao kumiliki mpira,tatizo ni MUFC ikipata mpira hauoni wachezaji wakijua nini cha kufanya,hawafungui nafasi,wapo wapo tu. Kuna moja Rashford kapata mpira anakimbia nao kule mbele hamna mtu anayeenda kutoa msaada,yani timu ipo ipo tu.
Herrera,Matic,Lingard walikuwa mzigo sana Rashford alikuwa isolated akawa anakimbia bila msaadaTatizo hapa sio wao kumiliki mpira,tatizo ni MUFC ikipata mpira hauoni wachezaji wakijua nini cha kufanya,hawafungui nafasi,wapo wapo tu. Kuna moja Rashford kapata mpira anakimbia nao kule mbele hamna mtu anayeenda kutoa msaada,yani timu ipo ipo tu.
2009Ipi na ipi?
Ila pia mkuu hayo yote ni madhara ya kuruhu watu kucheza golini kwako..itakubidi wachezaji warudi nyuma na mkipata mpira hamuezi kubreak fasta kwenda mbele..We si unaona kila muda Martial anarudi kumsaidia Shaw..
Herrera,Matic,Lingard walikuwa mzigo sana Rashford alikuwa isolated akawa anakimbia bila msaada
Kwamba miaka 15 as if hiyo brand ya Man Utd ilijengwa kwa miaka 15Bro kwa sasa ni miaka 15 tu inatosha kwa hao Manchester city kupindua meza na kuwa wakubwa kuliko nyinyi. Pep kama atabaki miaka kama kumi hivi basi Manchester United mtaanza kustruggle kuwa timu kubwa tena.
Hivi ilikuaje msimfukuze Van Gaal kumuwahi Pep wakati anaondoka Bayern?
nashangaa Tu Watu Kumlalamikia Kocha Eti Anafundisha Nin Huko Mazoezin
Nachojua Mie Toka Enzi Ya Babu Tukikutana Na Timu Inayomiliki Sana Mpira Lazima Tunyanyaswe Mara Nyingi Babu Alikua Anapata Ushindi Kiujanjaujanja Tu
Romelu Lukaku and Alexis Sanchez completed 4 passes during their combined 50 minutes on the pitch vs Man City.
Phil Foden completed 7 passes in 2 minutes.
kwa pamoja wanakula £550K kwa week
aibu nimeona mimi
Romelu Lukaku and Alexis Sanchez completed 4 passes during their combined 50 minutes on the pitch vs Man City.
Phil Foden completed 7 passes in 2 minutes.
kwa pamoja wanakula £550K kwa week
aibu nimeona mimi