Naomba kabla haujapewa matokeo tukae kwanza kikao tuone tunawezaje kumfariji ndugu yetu Mentor
Huyu bwana jana alilipia maturubali,vyombo,mchele,maharage,nyama,kabichi pamoja na waliaji wa kukodi kutoka ile nyumba inayoomboleza msiba wa J4. Sasa sijui atarudisha vipi gharama zake.
Pole sana mkuu Mentor ila najua unafurahi kuona lile goli la Juan.