Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna wakati huwa nafikiria Pogba akae bench wachez Matic, Fred na Herera

Herrera hawezi kumuweka benchi Pogba, Hererra sijawahi kuwa convinced kuwa ni mbunifu. Ubunifu ni jambo la msingi sana kwa viungo, Pogba anawaweka benchi watu sababu ni mbunifu, anaweza kufunga akipata nafasi, kwa mashuti mazuri sijamuona mchezaji wa Old Traford anaemfikia kitu ambacho majority ya viungo hata wazuri duniani hawana kipawa hiki kwenye kushoot
 
Umeonaeee halaf nimeona nnawashabiki feki wa man u hawa wanaoponda game 1st half
upenzi hausaidii kwenye ukweli

kama ndo hivyo hata Neville na Scholes ni legends feki

kwenye ukweli sema ukweli....ukiondoa game ya Everton game zake tatu za mwisho United imecheza hovyo first half
Newcastle
Chelsea
Juventus
 
Herrera kabadilishiwa majukum yule ni kiungo namba 8 ktk ubunifu ni shida mkuu sema timu yetu ina mapungufu ndo Mana unamuona Herrera Hana ubunifu.
 
Sijakataa ila pia labda inategemea na tactics za kocha.

Hujuilizi kwanin wamekua wanarudia kucheza hivyo?
 
b
|b
Naona amemshusha sana Herrera.
Herrera ana pasi zake mpenyezo matata sana na sio mtu wa kukaa na mpira afanye madoido ya pogba.
kama desturi mkuu,ukweli ni kwamba kwa mfumo wowote utd hakuna kiungo wa kumweka benchi ander herrera.Halafu kikubwa zaidi jamaa yuko committed sana kuliko wachezaji wengi pale...
 
Herrera kabadilishiwa majukum yule ni kiungo namba 8 ktk ubunifu ni shida mkuu sema timu yetu ina mapungufu ndo Mana unamuona Herrera Hana ubunifu.

Yet to see kwa huyu Hererra
 
b
|b

kama desturi mkuu,ukweli ni kwamba kwa mfumo wowote utd hakuna kiungo wa kumweka benchi ander herrera.Halafu kikubwa zaidi jamaa yuko committed sana kuliko wachezaji wengi pale...
Umemaliza kila kitu mkuu.

Nakumbuka aliwahi kusema yeye ni mchezaji wa timu,yupo tayari kucheza popote kocha atapompanga. Hii ndio aina ya wachezaji wanaotakiwa pale MUFC.
 
Naona amemshusha sana Herrera.
Herrera ana pasi zake mpenyezo matata sana na sio mtu wa kukaa na mpira afanye madoido ya pogba.

Sasa hivi viungo ambao sio namba sita wamekuwa valued kwenye input yao kwenye kufunga/kutoa assists kitu ambacho kumfananisha Pogba na Hererra ni sawa na kufananisha chuma na dhahabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…