ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,118
- 5,368
acha achonge, Rashford bado tunamuaminiRashford akikosa hata nafasi moja leo José atachonga sana.
acha achonge, Rashford bado tunamuaminiRashford akikosa hata nafasi moja leo José atachonga sana.
Nyumbani kwa Mata ni Chelsea.
Huýu jamaa yupo vizuri sanaMan Utd 2... Martial
Huyu Martial watoe namba ya tigopesa tuwe tunamshangia hela za ziada, sio kwa vitu hivi anavyofanya
Yeah,Man Utd 2... Martial
Huyu Martial watoe namba ya tigopesa tuwe tunamchangia hela za ziada, sio kwa vitu hivi anavyofanya
Ana magoli kama upinde wa mvuaYeah,
Kafunga goli zuri Sana.
NakubaliAna magoli kama upinde wa mvua
Morinho kashaanza kuchefua watu.