Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Matic toka world cup kiwango hakikuwa kizuri
Tatizo jingine ninaloliona kwa Mourinho ni kukosa flexibility..Matic huyu anahitaji kuwa benchi hachezi vizuri kabisa..anacheza too sloppy..,then herrera aingine mahala pake huku wakipea na pogba na fred..naamini tutapata kitu kutoka kwenye viungo hawa..

Haiingii akilini unatumia £50M kusajili mchezaji na nafasi hapewi
 
And katika press analalama kuhusu usajili
 
Ujue mourinho kuna mahali anachemka kuna uwelewano mzur sana kati ya fred na pogba hasa mmoja akicheza 8 na 10 mech ya young boys na wolves hawa watu walikuwa wakisogea juu zaid ilikuwa ni hatar sana
Kocha bovu bob iloo, kila siku analialia
 
Analilia mara Rashford akicheza kama CF nakosa winger, muda huo huo Pereira anacheza kucheza kama winger
 
Back
Top Bottom