Hahahaha nimecheka sana mkuu basi jamaa anajua bonge la kiungo hata kwa mata hatoshi.Mkuu huyu anamtetea joginyo mzee wa back pas.yan defence na defence midfielder ndo wamepiga pasi nying chelsi meaning wanapasiana wao kwa wao kama kupoteza muda
Icardi ni moja kati ya namba 9 wachache waliobaki Ulaya. Jamaa ni hatari mbele ya goli.Yule Mauro icard sio mtu Mzuri kabisa anadeserve timu kubwa AK I was he zaidi.... Timu zote kubwa zinauhitaji wa jamaa kwanamna moja au nyingine
Yule Mauro icard sio mtu Mzuri kabisa anadeserve timu kubwa AK I was he zaidi.... Timu zote kubwa zinauhitaji wa jamaa kwanamna moja au nyingine
Hawa ni kawaida yao wewe unatakiwa uwazoee..Wakat anasajiliwa hapakutosha humu, mashabiki wa man u muwe na akiba ya maneno mana mkishinda hata game tatu mfululizo basi kila mchezaji wenu anakua world class player
Joginyo Siku akija man u atamwagia sifa za kutosha.Hahahaha nimecheka sana mkuu basi jamaa anajua bonge la kiungo hata kwa mata hatoshi.
Tunakosa kitasa kama hiki pale nyuma aisee...
Mauro Icardi amezaliwa 1993Icardi ana 29 au 30 kama sikosei. Tofauti na wachezaji walioonyeshaga uwezo mkubwa wakiwa na 21 hivi au 20 example Neymar,Mbappe,Messi,CR7 e.t.c
Bakayoko hakuwahi kuwa bora tangu amefika Chelsea...Pogba ukimweka sokon huwezi kumuuza bei sawa na huyo mchezaji wako nimekwambia unakumbuka bakayoko alipocheza mechi kama hizo na ulinganifu wa matic? Saiv hata ac milan hana namba
😂😂😂 lkn Man u mnashida sana.. Wakat anaingia Man u hapakutosha humu, leo tayar ni garasa 😂😂Mourinho: "Alexis Sanchez is not fit. Nothing to hide." #mulive [bbc]
Tatizo hamuangaliagi mpira... Pasi nyingi kutokea kwa mabeck sio kwa sababu wanapiga back basi la hasha ni kwa sababu mpita unaanzia nyuma kwa Kepa... So kepa ndo anaanza kutoa pasi kwa hyo akina rudiger ndo wanaanza kichezesha mpira....Mkuu huyu anamtetea joginyo mzee wa back pas.yan defence na defence midfielder ndo wamepiga pasi nying chelsi meaning wanapasiana wao kwa wao kama kupoteza muda
Hapa tunajiabisha tu kuendelea na ww mpira wenyewe hujui unaongozwa na chuki tuBakayoko hakuwahi kuwa bora tangu amefika Chelsea...
Tatizo lenu ninyi huwa mnajua kuwapa watu majina hata kama viwango vyao viko chini. Wakat Matic yuko Chelsea hakuwa bora, cha ajabu amekuja man u et leo ni bora....
Sasa nyie kila mwaka mnasajili wachezaji na kuwapokea kwa mbwembwe cha ajabu hamchukui Epl... Man u ishaisha mmebaki ninyi tu ndo mnajipa moyo
Hahahaha nimecheka sana mkuu basi jamaa anajua bonge la kiungo hata kwa mata hatoshi.
Huyu mtu alianza tokea akiwa arsenal pengine mi nilifikir kaichoka timu abadili mazingira kumbe wapi sawa na torres tu alipoenda chelsea toka loverpool.Mourinho: "Alexis Sanchez is not fit. Nothing to hide." #mulive [bbc]
Sasa unaacha kujibu hoja unaingia vichakaniHapa tunajiabisha tu kuendelea na ww mpira wenyewe hujui unaongozwa na chuki tu
Si ajabu ulitoa na utabir wako ukajua mpira na sawa na kununua fungu la nyanya kwamba united wanafungwa nne
Sasa tunakupuuza wewe sio level yetu wala sio mpinzani wetu.
Kwa kukudharau tu nilikujibu kiupuuziHata position hamzijui sasa mata ni holding mieldfield?
Hoja gani na ww wakat sio level yangu nyie chelsea mnatakiwa mkomae na mashabik wa city na everton hapa sio level yako mnafosi upinzani.Sasa unaacha kujibu hoja unaingia vichakani
Sema umeshindwa na hoja, mpira ni data sio porojo.... Watu mnasifia mtu kama Pogba wakati hakuna achofanya mmekua kama misukule vile mnapiga kelele tu haya hamjui mnapiga kelele za nini...Kwa kukudharau tu nilikujibu kiupuuzi
Misukule tena ona utoto wako ndo mana mnamzomea hadi kocha wenu bila sababu ya msingi kumbe vichwani hamna kitu ndo shida ya timu kuvamiwa na mamlukSema umeshindwa na hoja, mpira ni data sio porojo.... Watu mnasifia mtu kama Pogba wakati hakuna achofanya mmekua kama misukule vile mnapiga kelele tu haya hamjui mnapiga kelele za nini...
Wakat anakuja yani ni mliongea mpaka mkafanya Hazard aonekane hajui mpira saiz naona ninyo wenyewe mnaanza kichambua pumba na mchele... Polepole mnaanza kumuelewa Hazard