we are still united no matter what.
kwa game ya leo mou kanifurahisha maana hatukukaa chini kwa kipindi chote na wachezaji walikokota mipira kuivusha katikati na sio kubutua. washambuliaji wetu wametumia nafasi chache kufunga bao mbili,na mata bado anathibitisha yeye ndio mtu sahihi kuwepo namba 10 na wala si lingard.
Gracias united.