Aisee...can't argue with you anymore,maana huna msimamoPoint yangu ni hii Fred amekuwa garasa sababu ya mou,
Jibu ni B
Nadhani umenielewa
Mpira haupo hivo usikariri ,Aisee...can't argue with you anymore,maana huna msimamo
Subirini mkutane na sisi tuwanyooshe tu na magarasa yetu maana ni utaratibu wetu...
Ulisema mwenyewe kuwa tumesajili galasa..sasa mbona saivi unabadili gia..sanchez haperform vizuri hilo liko wazi ila hilo tatizo sio la mourinho tu directly...Mpira haupo hivo usikariri ,
Hapa ndipo ninapowashangaa sana watu kama nyie ,kila mech na plan yake, halafu arsenal ina cheza tofaut na ya wenger, hivo subir kwanza tucheze ,
Maana hutaki kikubali ukweli kuwa kocha wako anawafanya wachezaji wawe magarasa ,mfano nimekupa sanchez, fred, na wengineo ambao ni wachezaj wazuri tu,
Sasa kama mmesajiri mchezaji akiwa mzuri kaja kwenu anavurunda huyo si ni garasa ? Na mwalimu wenu anahusika directly,ndio maana nahitimisha sanchez ,fred ni magarasaUlisema mwenyewe kuwa tumesajili galasa..sasa mbona saivi unabadili gia..sanchez haperform vizuri hilo liko wazi ila hilo tatizo sio la mourinho tu directly...
Mkuu kati ya magoli alitofungwa de gea unauhakika Kepa angeokoa???Kwa mfano mechi ya juzi de Gea mashuti matatu, magoli matatu... World Cup alipigiwa mashuti 11 on target na magoli 10 kati ya hayo. Overrated player
. Calculate hapo. Me ni shabiki ya Spain naona hafai. Naongelea national timu.
alikuwaga anajua kusajili miaka hiyo sikuhizi anafanya figisu kwaw pep mwisho wachezaji anashindwa kuwatumiaMourinho huyo ukichanganya na manchester united ya sasa.View attachment 901470
Hao alisajili kwa kushirikiana na bodi ya chelsea ujue bodi ya chelsea huwa inatoa ushirikiano sana ndo mana kukutimua dakika sifur unapata kila utakacho wanaanza kukudai matokeoalikuwaga anajua kusajili miaka hiyo sikuhizi anafanya figisu kwaw pep mwisho wachezaji anashindwa kuwatumia
yep inawezekana board ilimpa ushirikiano maana hata matokeo uwanjani yalikuwa yanaonekanaHao alisajili kwa kushirikiana na bodi ya chelsea ujue bodi ya chelsea huwa inatoa ushirikiano sana ndo mana kukutimua dakika sifur unapata kila utakacho wanaanza kukudai matokeo
Bora hivi ili mtu akose pakusingizia,oooh mara sjapewa hela ya kusajili!Hao alisajili kwa kushirikiana na bodi ya chelsea ujue bodi ya chelsea huwa inatoa ushirikiano sana ndo mana kukutimua dakika sifur unapata kila utakacho wanaanza kukudai matokeo
Ukishakuwa pundit sijui unakuwaje Paul Scholes taarabu nyingi sana siku hiziKwa hali hii tutegemee wachezaji kuchanganyikiwa wakija kwetu wanakuwa na hofu tu sijui wakina scholes watasemaje badala ya kuwatia moyo kuna muda kuwa na watu hawa ni kubomoa saikolojia ya wachezaj tu alimuandama pogba hadi mourinho alimzingua akaacha sasa kaanza na lukaku
Sir alex alimsajili owen akitokea kutemwa na newcastle akapeqa jez namba 7 siju kwa nini hakusema hafai???
View attachment 901451
Nimecheka sana sijui lukaku anajisikiaje?
Aseno ata uweje kwa man united unafungwa tuMpira haupo hivo usikariri ,
Hapa ndipo ninapowashangaa sana watu kama nyie ,kila mech na plan yake, halafu arsenal ina cheza tofaut na ya wenger, hivo subir kwanza tucheze ,
Maana hutaki kikubali ukweli kuwa kocha wako anawafanya wachezaji wawe magarasa ,mfano nimekupa sanchez, fred, na wengineo ambao ni wachezaj wazuri tu,
Ingekuwa hivo bas Arsenal angekuwa hajawahi kushinda hata game 1 kwa man u,Aseno ata uweje kwa man united unafungwa tu
Ikitokea aseno ameshinda ujue game haikuwa na umuhimu wowote ule, kama pre season tuIngekuwa hivo bas Arsenal angekuwa hajawahi kushinda hata game 1 kwa man u,
Kwa kaul yako unataka kusema Arsenal hajawahi kushinda kamwe kama man u?
Siyo kweli kwamba bodi ya Chelsea wanampa Mwl kila atakacho. Msimu ulopita tu conte alihitilafiana sana na hiyo bodi juu ya kushindwa kumpa Mwl first target zake. Na kama sikosei msimu ulopita conte hakupata first target yake hata mojaHao alisajili kwa kushirikiana na bodi ya chelsea ujue bodi ya chelsea huwa inatoa ushirikiano sana ndo mana kukutimua dakika sifur unapata kila utakacho wanaanza kukudai matokeo
Conte aliitibua bodi yeye mwenyewe kwa kuuza wachezaji ambao ni potential kwenye timu hasa matic na diego costa hiki kilimmaliza mwenyeweSiyo kweli kwamba bodi ya Chelsea wanampa Mwl kila atakacho. Msimu ulopita tu conte alihitilafiana sana na hiyo bodi juu ya kushindwa kumpa Mwl first target zake. Na kama sikosei msimu ulopita conte hakupata first target yake hata moja