Giggs anajuta kutotundika viatu.
hahahahaha, huyu Jones nae ni mzuri sana kwenye kujifunga, ana mabao mangapi mpaka sasa ya kujifunga?
Luis Nani haisadii timu kwa lolote, hakabi wala hatoi cross zenye tija
yaaaan we don even deserve a draw leoooo, atleast tufungwe fergie aone u must wa kubuy kiungo!!
hapa ndio hua tunakosea. Man utd ina matatizo ya Kocha na sio wachezaji. Hata aje xavi tutaendelea kula buyu. Anapanga timu utadhani anacheza playstation. Pia timu imejaa liabilities, watu kama anderson, rio, evans, evra, nani, berbatov, da silva brothers, owen, gibson etc. Wapo kwa sababu kocha anawalinda