Nasikia jamaa ndo alikua mtu pekee aliyekuwa anaweza kumchallenge Jose kuhusu kikos au mbinu za mchezo husika na Jose akamsikiliza,,,,,pia jamaa alikua vzr tactically,,, wapo pamoja tokea fc Porto, Chelsea, inter,,Madrid,, Chelsea, man u,then jamaa akaomba kukaa pembeni,,
Mkuu usijali..Lukaku leo katembea sana na mpira. Kuna dogo kule winga ya kushoto kagusa mpira mara tatu, hajapiga krosi hata moja. Baki aliye nyuma yake Shaw kapiga kross 3.
Mkuu tuombe afukuzwe kabla. Mourinho na United hata wakiwa vibaya vipi huwa wanacheza vizuri vs Arsenal na Liverpool. Na Arsenal huwa kama mbwa mbele ya chatu vs Manchester United.