D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
swali gumu sana na hili linatokana zaidi na pressure iliotawala klabuni kwa miaka 6Mkuu umeandika vizuri...ila naomba nikuulize kwa muono wako umafikiri nani ambaye akipewa team pamoja na pesa ya usajili atatukwamua.
Uchambuzi mzuri.Lakini swali ni je,kipi kilichomuondoa Real Madrid na pia Bayern Munich? (Kote huko hakujiuzulu ila mbinu zake zilioneka kufikia ukomo?)swali gumu sana na hili linatokana zaidi na pressure iliotawala klabuni kwa miaka 6
kwa makocha ambao wameshavuka miaka 50 ya kuzaliwa kwa maoni yangu carlo ancelotti a.k.a ,mzee wa ‘diamond midfield’ atatufaa sana kwa miaka 3 huku tukiwasubiria ryan giggs, michael carrick,zidane, thomas tuchel wakiendelea kupata uzoefu.
View attachment 886094
- carlo ancelotti hajawahi kuwa mtumwa wa kutegemea mfumo mmoja wa ufundishaji soka ndio maana ameendelea kuwa mwalimu mwenye kuhitajika na klabu tofauti.unakumbuka msimu wake wa kwanza pale chelsea wakati mashabiki wanajiuliza ni ipi khatma ya washambuliaji drogba na anelka, carlo aliwatumia wote wawili kutokana na mahitaji ya mechi wakati huku kwetu jose mourinho hajawahi kutumia washambuliaji wawili kwenye mechi moja.alipokwenda real madrid aliachana na fasafa ya mourinho ya 4-2-3-1 na kuamua kutumia mfumo wake pendwa 4-3-3 huu ni msimu wa nne makocha wa real madrid wanatembelea nyota yake.
- yupo vizuri sana kwenye ishu ya kuwatafutia wachezaji sehemu sahihi za kuufurahia mpira wao, pale madrid alimgeuza di maria angel kutoka namba 11 hadi kuwa namba 10, alipokuwa ac milan alitengeneza utatu mtakatifu uliotishia afya za makocha wa timu pinzani na kumfanya ricardo kaka kuwa mtakatifu. pale chelsea alitengeneza utatu mtakatifu wa essien, ballack na lampard ulikuwa hatari zaidi kuliko chanjo ya pepo punda, kule mbele anelka na drogba walikuwa wanafunga magoli kama wana kichaa cha mbwa
- mpira wa karne hii ya 21 unaendana na kasi ya teknnolojia ila cha ajabu baadhi ya makocha wameendelea kuishi wakiwa na fikra za karne ya 20, bahati njema carlo ancelotti yupo kama software kila baada ya muda anaji update mwenyewe bila ya shinikizo. ukiwatazama makocha wengine licha ya mafanikio yao waliopata utagundua ni watumwa wa mfumo mmoja wa ufundishaji kwa kuanzia na guardiola, diego simeone, jurgen klopp na jose mourinho hivyo basi wanapokutana na watu wanaowafahamu vizuri kimfumo wanaishia kuweweseka. Alipokuwa juventus alipendelea kutumia mfumo wa 3-4-1-2 na aliamua kuwapa nafasi ya kucheza pamoja Zinedine Zidane akiwa numa ya Alessandro Del Piero na Filippo Inzaghi.
- ikiwa carlo ancelotti aliweza kufanya kazi na watu wagumu kama vile Silvio Berlusconi, Roman Abramovich, Uli Hoeness , Karl-Heinz Rummenigge na Florentino Perez kwa mafanikio sidhani kama atashindwa kufanya kazi na familia ya glazer pamoja na ed woodward na kama atatafutwa football director mwenye ushawishi kama marotta wa juventus basi itapendeza sana.
- pia carlo ancelotti yupo vizuri sana kwenye kujenga mahusiano na wachezaji wake na hilo amelidhihirisha alipokuwa real madrid, chelsea, ac milan na hata PSG. Alipokwenda real madrid aliikuta timu ilioachwa na mourinho ikiwa imegawanyika pande mbili na alifanikiwa kubadili hali ya hewa kwenye vyumba vya kubadilishia nguo kwa muda mfupi wa kazi, naamini kwa hali iliopo manchester united anaweza kuirekebisha kwa wiki moja tu.
udhaifu wake mkubwa ni ukimya wake kwa wachezaji na hata kwa mabosi wake.
hahahaha namkumbuka mkuu u deserve the best unamchango positive katika jukwaaumenipa heshima kubwa sana zinazonizidi kimo changu ila sinabudi kuzipokea kwa mikono miwili.
kupenda kwangu mpira tokea nikiwa na umri mdogo sana kumenifanya niufahamu mpira na wachezaji kama nimesomea fani hiyo, nikikwambia nina uwezo wa kumgundua mchezaji hodari na mchezaji mbovu kwa muda mchache sana unaweza kuniamini?
cha ajabu wazungu wanatumia msimu mzima kwa ajili ya kumchunguza mchezaji.
nakumbuka mechi ya kwanza ya liverpool kwenye jukwaa lao baada ya kuwafunga west ham magoli manne niliwambia mbona huyu mohammed salah pumzi yake imekata ghafla mapema yote hii na nilichojibiwa kwenye thread yao
uzi wa toa likes pata likes umeniathiri sana kiasi ambacho hata kama mtu atanijibu ovyo huwa namgongea like ya bure
- mkuu muhammed salah leo amefunga goli moja halafu unasema amekata pumzi utakuwa una wazimu.
- mwengine akanijibu bado mapema na inaonekana pressure ya kuhofia kuumia tena inamkabili
- mwengine akanijibu tatizo la salah inaonekana anataka kukimbilia kuweka heshima aliyoiweka mwaka jana.
- mmoja akanijibu salah amekuwa akikaa maeneo ya firmino.
namshukuru mungu kadri siku zinavyosogea mbele mashabiki wa liverpool wameanza kuliona tatizo la salah.
hapa ndipo nilipoanza kushabikia mpira na manchester united ikawa ndio timu ya kwanza kuiona kwenye televisheni ikipata ushindi.
dah! nimeshapigwa sana na mama yangu kwa tabia ya kukimbia madrassa siku ya jumamosi kwa dhumuni la kuangalia mechi za manchester united.
hahahahahaaaa kama Arsenal wangelishinda mechi hii basi ndio ingelikuwa timu yangu, ahsante sana dwight yorke kwa kuniepushia ugonjwa wa kushabikia washika bunduki na kwenye mechi hii alifunga hatrick
ilikuwa february 25 / 2001
unamkumbuka luke chadwick?
View attachment 886128
Ha ha ha!!!! Teh teh teh!!!
Siyo ligi bora zaidi kwa sasa bali ni ligi yenye thamani kubwa (brand value)Nashindwa kuelewa mbona ligi ya EPL ni ligi bora zaidi kwanini UEFA timu hizi zinasuasua
Unachosemq ni sahihi ila binafsi naona pogba ni chatu mdogo tayari pale OT na Maurinho akiondoka utakuwa ni ushindi mkubwa sana kwake.Aondoke Pogba????????????
Mkuu Mimi unaweza sema siujui Mpira lakini Kwenye timu siwi na Mchezaji Kama Pogba nikasema aondoke...
Kipaji cha Pogba kimefichwa na siasa za Mourinho! Subiri aondoke Mourinho aje Kocha Mwenye siasa rafiki na Wachezaji uone Mziki Wa Hugo Pogba unayesema aondoke.
Wamlete Jose leornado Nunes Alves Sousa Jardim team itaimarika sana huyu Mourinho kazi imeanza kumshinda.Ni yule yule tu kama mourinho kuzuia sana kocha makini ni yule babu aliestaafu wa buyern munich hatar sana kwa soka la kushambulia
Shida nyingine iliyopo pale Man u ni hawa wachezaji wa zamani kina scholes, Ferdinand and the core every manager wanakosoa wanajenga attitude mbaya kwa wachezaji mbona team zingine hata kama team zinafanya vibaya senior players huwa hawafanyi wanachokifanya hawa wapuuzi ?
Hawa wahuni wanachangia kuharibu mentality ya team mama zao
Halafu acheze lile li mpira lake la kizamani? Aende aseeUshauri kuifanya Man United iendelee kuwa big team.
- Mpeni Mou madaraka kama yale aliyopewa na Chelsea aunde timu inayoendana na mfumo wake. Pia awajenge wachezaji ambao watakuwa Loyal kwake kama akina John Terry, Frank Lampard, Didier Drogba, Petr Čech nk
- Mpeni pesa ili awanunue wachezaji anaowataka na wala sio mnampa pesa nusunusu
- Mpeni muda wa kutosha kama mlivyompa Ferguson
Jamaa umeamua kutema nondo tu sasaswali gumu sana na hili linatokana zaidi na pressure iliotawala klabuni kwa miaka 6
kwa makocha ambao wameshavuka miaka 50 ya kuzaliwa kwa maoni yangu carlo ancelotti a.k.a ,mzee wa ‘diamond midfield’ atatufaa sana kwa miaka 3 huku tukiwasubiria ryan giggs, michael carrick,zidane, thomas tuchel wakiendelea kupata uzoefu.
View attachment 886094
- carlo ancelotti hajawahi kuwa mtumwa wa kutegemea mfumo mmoja wa ufundishaji soka ndio maana ameendelea kuwa mwalimu mwenye kuhitajika na klabu tofauti.unakumbuka msimu wake wa kwanza pale chelsea wakati mashabiki wanajiuliza ni ipi khatma ya washambuliaji drogba na anelka, carlo aliwatumia wote wawili kutokana na mahitaji ya mechi wakati huku kwetu jose mourinho hajawahi kutumia washambuliaji wawili kwenye mechi moja.alipokwenda real madrid aliachana na fasafa ya mourinho ya 4-2-3-1 na kuamua kutumia mfumo wake pendwa 4-3-3 huu ni msimu wa nne makocha wa real madrid wanatembelea nyota yake.
- yupo vizuri sana kwenye ishu ya kuwatafutia wachezaji sehemu sahihi za kuufurahia mpira wao, pale madrid alimgeuza di maria angel kutoka namba 11 hadi kuwa namba 10, alipokuwa ac milan alitengeneza utatu mtakatifu uliotishia afya za makocha wa timu pinzani na kumfanya ricardo kaka kuwa mtakatifu. pale chelsea alitengeneza utatu mtakatifu wa essien, ballack na lampard ulikuwa hatari zaidi kuliko chanjo ya pepo punda, kule mbele anelka na drogba walikuwa wanafunga magoli kama wana kichaa cha mbwa
- mpira wa karne hii ya 21 unaendana na kasi ya teknnolojia ila cha ajabu baadhi ya makocha wameendelea kuishi wakiwa na fikra za karne ya 20, bahati njema carlo ancelotti yupo kama software kila baada ya muda anaji update mwenyewe bila ya shinikizo. ukiwatazama makocha wengine licha ya mafanikio yao waliopata utagundua ni watumwa wa mfumo mmoja wa ufundishaji kwa kuanzia na guardiola, diego simeone, jurgen klopp na jose mourinho hivyo basi wanapokutana na watu wanaowafahamu vizuri kimfumo wanaishia kuweweseka. Alipokuwa juventus alipendelea kutumia mfumo wa 3-4-1-2 na aliamua kuwapa nafasi ya kucheza pamoja Zinedine Zidane akiwa numa ya Alessandro Del Piero na Filippo Inzaghi.
- ikiwa carlo ancelotti aliweza kufanya kazi na watu wagumu kama vile Silvio Berlusconi, Roman Abramovich, Uli Hoeness , Karl-Heinz Rummenigge na Florentino Perez kwa mafanikio sidhani kama atashindwa kufanya kazi na familia ya glazer pamoja na ed woodward na kama atatafutwa football director mwenye ushawishi kama marotta wa juventus basi itapendeza sana.
- pia carlo ancelotti yupo vizuri sana kwenye kujenga mahusiano na wachezaji wake na hilo amelidhihirisha alipokuwa real madrid, chelsea, ac milan na hata PSG. Alipokwenda real madrid aliikuta timu ilioachwa na mourinho ikiwa imegawanyika pande mbili na alifanikiwa kubadili hali ya hewa kwenye vyumba vya kubadilishia nguo kwa muda mfupi wa kazi, naamini kwa hali iliopo manchester united anaweza kuirekebisha kwa wiki moja tu.
udhaifu wake mkubwa ni ukimya wake kwa wachezaji na hata kwa mabosi wake.
HYakuna mpira wa zamani wala wa kisasa, ukisema hivyo unaonyesha wewe hujui mpira kabisaHalafu acheze lile li mpira lake la kizamani? Aende asee
Ha ha ha!!!! Teh teh teh!!!
Legends Wa Man U wengi wao wameitumikia timu na kuleta mafanikio makubwa ktk michuano ya ndani na nje hivyo wanaumia kuona jahazi linazama ndio maana wanaongea sana. Legends Wa timu zingune huenda hawakupata mafanikio sana ktk klabu zao hivyo sauti ya kuongea ni lazima iwe kidogo pia.Shida nyingine iliyopo pale Man u ni hawa wachezaji wa zamani kina scholes, Ferdinand and the core every manager wanakosoa wanajenga attitude mbaya kwa wachezaji mbona team zingine hata kama team zinafanya vibaya senior players huwa hawafanyi wanachokifanya hawa wapuuzi ?
Phil Neville alipewa Valencia kuifundisha lakini alishindwa hata kumaliza msimu mmoja
Alipokuwa man u na Moyes the same story hebu tumpe Paul scholes team hata siku Moja tuone kama atashinda hata game Moja ?