ukuta mbovu ndio unamuweka Rafael mido ? Rooney na giggs nje?! Nani anaboronga unamkaushia. Nambie, kwenye bench la united zaidi ya anderson kulikua na mchezaji gani mwingne wa kubadili game? Acha mapenzi, analyze critically wewe. Tatizo la Man u ni Kocha na sio wachezaji.
badala ya Rafael mido alietoka majeruhi, angeanza Pogba ningemwelewa.
Mbavu zangu!
Wajifariji kwa kipigo nyumbani, 31-12-2011?
Dua la kuku!
ukuta mbovu ndio unamuweka Rafael mido ? Rooney na giggs nje?! Nani anaboronga unamkaushia. Nambie, kwenye bench la united zaidi ya anderson kulikua na mchezaji gani mwingne wa kubadili game? Acha mapenzi, analyze critically wewe. Tatizo la Man u ni Kocha na sio wachezaji.
badala ya Rafael mido alietoka majeruhi, angeanza Pogba ningemwelewa.
hana quality za kua mchezaji wa 1st 11 ndani ya man u.
And your next game is with the Toons at St. James Park lazima muacha point kama sio points