ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
EPL haitabiriki lakini hawa jamaa leo duh. Yule kocha wa blackburn ana bahati hukumu yake kuhairishwa kila siku.
na hapo kashinda big gemu lazima wahairishe hukumu yake..
EPL haitabiriki lakini hawa jamaa leo duh. Yule kocha wa blackburn ana bahati hukumu yake kuhairishwa kila siku.
Man u hatuna kocha! 70 yrs b'day, 25 yrs as a Manager he thinks shit if i were man u owner ths could have been his last game
![]()
selfish nani
Hebu acha kelele wewe, ulitaka SAF afanye nini ukuta wetu wengi ni majeruhi na kipa leo alikua anasiku mbaya kazini sasa ulitaka SAF aingie yeye.
Ndio maana huna timu na mawazo yako..........
Mbavu zangu!Lawama zote zipo kwa De gea leo kachemka pamoja na timu ilishindwa kuziba vizuri mapengo ya majeruhi. Ila leo matokeo ya timu nyingi yatakuwa ndivyo sivyo.
Mbavu zangu!Lawama zote zipo kwa De gea leo kachemka pamoja na timu ilishindwa kuziba vizuri mapengo ya majeruhi. Ila leo matokeo ya timu nyingi yatakuwa ndivyo sivyo.
ukuta mbovu ndio unamuweka Rafael mido ? Rooney na giggs nje?! Nani anaboronga unamkaushia. Nambie, kwenye bench la united zaidi ya anderson kulikua na mchezaji gani mwingne wa kubadili game? Acha mapenzi, analyze critically wewe. Tatizo la Man u ni Kocha na sio wachezaji.
badala ya Rafael mido alietoka majeruhi, angeanza Pogba ningemwelewa.