Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Zamu yenu kukonda mwaka huu...arsenal tumewakabidhi kijiti nyie Mama esta United na mtapata tabu sana nawaambia.
ahaaaahaaa hamjazoea kufulia eee...huu mwaka wenu.
###wengerin##
 
Poleni ndugu zangu kwa haya tunayoyapitia,dahh!! Sasahivi hali imekuwa ngumu kweli kweli vijiweni hakukaliki,makazini tabu tupu,basi tujipe tu moyo na hili nalo linapita,linapitaje???? Mungu aingilie kati.... tujipe tu moyo pamoja na ugumu wote tuseme tu GGMU!!!
Mungu hawezi kuisaidia Man united chochote... Kwa sababu uzembe mnafanya wenyewe. Fukuzeni iyo Mourihno araka chukua Wenger halafu uone kama Mungu hattojibu maombi.
 
Jamaa kaandika kwa hisia sana,

Wale watetezi Wa Mou akili viroba sijui hata kama watasoma hii article.
Do you agree with the Manchester United legend?
FB_IMG_1538319232971.jpeg
 
Toa Mou leta kocha mpya....

Uza jones,smalin, lindelof,mata,fellain, unapata angalau paun mil 100 hpa kama unauza kwa bei ya hasara.....

hiyo pauni million 100 unanunua centre back cb wawili wakali, hata 75 kaa maguire fresh maana atakuja kuwa captain bora hiyo inabaki 25....

Tunambembeleza Mou tusimpe pauni mil 12 tumpe paun mil 6 hapo jumlisha ile 25 inakuwa paun mil 31 unapata beki mzuri pale france au ujerumani .....mpaka hapa tunabeki za kati 2 mpya za kumsaidia bailly........

Unampa kocha mpya paun mil 300 anunue viungo namba 10 na straika 1.....

Unawafuata thiago,rodrigues,ndombele wa lyon kupiga 6, au mnyama mwingine wa kusaidiana na matic......

Unakuwa umechoma kama paun mil 200 hapo basi unaenda Torino unatoa 75 nyingine umamchukua Bellotti kumchallenge lukaku.....

Kazi inakua imeisha
 
kwa wachezaji mlionao! hata akija gadiola hatowavusha,

mna wachezaji wabovu wanaokuzwa na media

-mbaya zaidi na nyinyi mashabiki mmeingia kwenye mkumbo huohuo, mnasifia kila kitu

wachezaji kama lingard, Herrera, rashford,smalling, hawakutakiwa kua wachezaji wenu ila kwa bahati mbaya ndio mnawategemea

mtu anayekuja kuwatengenezea timu hakikisheni mnampa anachotaka sio mnamletea ujuaji wa sifa zisizositahili za wachezaji wenu

-bado naamini Manchester United iliyokua inaenda kuludi enzi zake ni hii ya mou.
Hakuna mchezaji mbovu United.

Mfumo wa kocha ndo mbovu, hauwapi nafasi wachezaji kuonesha vipaji vyao.
 
Mahesabu mazuri. Ila lukaku akae benchi moaka atakapopungua uzito. Maana ule ubonge umeua hadi controll

Back
Top Bottom