Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Jose Mourinho ni kama amemaliza kila kitu kichwani mwake, ni kama amemaliza kila kitu kwenye vitabu vyake, ni kama amemaliza vitu vyote maktaba ya Manchester United....... Hizi ni dalili zake ambazo hufuata baada ya kubeba ndoo ila shaka yangu ni namna alivyojijengea sanamu lake njia ya mbali na historia rafiki kwake.
Lakini tukimuandama Jose na Man yetu (yenu) tukumbuke kuwa Pellegrini ni master na vifaa tiba vilivyopo kwa wagonga nyundo kuna wakati anavitumia uzuri na utamu kama ule wa jan
Kilichobaki kwa Jose kwa sasa ni mahesabu ya jioni muda wa biashara asubuhi. Walevi wa kahawa ndio husemaga "shangilia lakini usinishike"....