Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kocha wa Manchester United David Moyes amewaonya mashabiki wa mabingwa wa ligi kuu ya England kwamba anahitaji kuimarisha kikosi chake na kwamba kipigo cha Jumaapili ambapo walichapwa 4-1 na Manchester City huenda isiwe ndio mwisho wa matokeo kama hayo.
"kutatokea siku kama ile ya Jumaapili na huenda tukakabiliwa na matokeo zaidi kama hayo kwa sababu tuko katika kipindi cha mpito," alwaaambia waandishi habari kabla ya pambano la Jumaatano la kombe la Capital One dhidi ya Liverpool.
"bado tunakabiliwa na kazi pevu ya kuwasajili wachezaji sio tu watakaojumuishwa na kikosi chetu lakini wenye uwezo wa kuingia moja kwa moja katika timu," aliongeza kusema Moyes katika msimu wake wa kwanza katyika a Old Trafford baada ya kushikikilia nafasi iliyoachwa na Alex Ferguson.
"tulihitaji wachezaji wawili watatu hivi ambao wangeweza kuingia moja kwa mopja katika timu. Lakini hayo yatatokea ,kweli huenda itabidi nikabiliane na vipigo vichache zaidi.
Manchester United iliwakosa wachezaji kadhaa mashuhuri wakati wa kipindi kilichopita cha usajili na hata kulikua na tetesi za juhudi za dakika ya mwisho za kuipiku Real Madrid ili kumsajili Gareth Bale ambae kuuzwa kwake kutoka Tottenham Hotspur kulivunja rekodi kama mchezaji ghali kupita wote duniani.
 
Mahesabu mazuri. Ila lukaku akae benchi moaka atakapopungua uzito. Maana ule ubonge umeua hadi controll
Anatucost sana mkuu na hapo ukiongeza hata paun mil 60 tukamchukua bailey wa Bayer Leverkusen tutakuwa mbali
 
Jamaa kwa nini Umetumia akili viroba
Lazima tukubali kutokukubaliana ndiyo mijadala ilivyo mkuu

Aya tuambie nani awe mbadala wa jose
Hapa naona kosa lilifanyika kumfukuza luis van gaal nikiangalia hata takwimu za mechi kubwa hatujawahi kupak bus na tulishinda tukiwa na wachezaji wadogo toka kwenye academy

Kama wakina

Padd macnair
Timoth fosuh mensah
Jackson cameroon

Marcus rashford
Jessey lingard
Andreas perreira

Hao kwa uchache tu naona hapa tulivunda sana maana alikuwa na project ya muda mrefu sana
 
hii ni kweli?
IMG-20181001-WA0014.jpeg
 
Back
Top Bottom