Ufala mwingine Mourinho anaowafanyia wachezaji nimemsikia Commentator anasema Mourinho kawarudisha wachezaji Uwanjani dakika mbili kabla ya Westham kurudi, Yaani wachezaji wamesimama tu wanazomewa na mashabiki wa Westham
Kila Siku nauliza hili swali lakini sipewi majibu sahihi...
Hivi man united mna malengo gani msimu huu? Yani lengo lenu ni kubeba kombe gani msimu huu?
Halafu hii approacha ya wachezaji kumkataa kocha kwa kuruhusu kufungwa tu ovyo ovyo italeta hathari hasa kwa kitu kama hii.. Izo mambo wanaweza akina Hazard na Luiz tu ..nyie wengine msiige..
man u bana eti wanasema bora morinho
angekuwa kwenye ajali ya mv nyerere si
maneno yangu nikiwa kama shabiki wa liverpool
ni maneno ya washabiki wa nyumbu yajayo
yanafurahisha!!😀😀
Ili kuonyesha kuna shida man u wachezaji wameamua kuonyesha kwa vitendo uwanjani
Sio de gea wa msimu uliopita
Mastaa wa team hawaperfom kabisa
Na hii ni meseji kwa mourinho kuwa pogba ana nguvu sana Hapo united na anaivuruga team
Ufala mwingine Mourinho anaowafanyia wachezaji nimemsikia Commentator anasema Mourinho kawarudisha wachezaji Uwanjani dakika mbili kabla ya Westham kurudi, Yaani wachezaji wamesimama tu wanazomewa na mashabiki wa Westham
Naongea kwa maumivu makali morinho hana mbinu mbadala za mpira wa miguu man utd na cjui maboss wanasubri nni mpaka waone timu inavoingia Europe yani Daa raha hamna
Naongea kwa maumivu makali morinho hana mbinu mbadala za mpira wa miguu man utd na cjui maboss wanasubri nni mpaka waone timu inavoingia Europe yani Daa raha hamna
Mkuu, Baily ni boya zaidi. Kwa kuanza na Matic, Tominay, Fela na Pogba, maana yake alitaka kuprotect defence yake. Hivyo, concern yake ni kuepuka kufungwa kuliko anavyowazia kufunga. Lakini attacking sometimes is a good defending option.