Nmekusomaa mara 3 mkuu wacha nisitie nenohahahahahahaaaaa nilikuwa sijaangalia marejeo ya mechi ya jana ila ndio nimeliona goli la kijana wilson muda huu, free kick kama zile nimezoea kuziona zikipigwa na mchawi kutoka uholanzi ambaye ndiye kocha wa muda huu wa uholanzi muheshimiwa ronald koeman.
aigooooo nimeunga bando langu muda huu nataka niangalie magoli yote aliyofunga romelu lukaku tokea aanze kucheza mpira wa ushindani, dhumuni langu kubwa nataka niangalie amefunga magoli mangapi ambayo ametoka na mpira nje ya eneo la adui, amefunga magoli mangapi akiwa amezongwa na mabeki wawili na amefunga magoli mangapi akiwa na goal kipa, hizi nafasi anazopoteza ndio ziliwafanya kina didier drogba waonekane ni wafungaji mahiri haliyakuwa walikuwa hawawezi hata kupiga chenga.
najua watajitokeza wenye takwimu uchwara kumlinganisha lukaku na drogba.
kuna baadhi ya wachangiaji wanadai ya kwamba manchester united tuna average player wengi sana ukilinganisha na timu nyenginezo, hoja zao ni za msingi kiupande fulani lakini ninavyofahamu mimi inapotokezea mtoto ni mwenye tabia mbaya lawama zote huelekezwa kwanza kwa wazazi wake wawili ndipo huelekezwa kwa mtoto.
hivyo basi haitatokezea hata siku moja lawama za kufanya vibaya kwa timu zikaelekezwa kwa wachezaji ila kocha ndiye atakeyebebeshwa lawama kwa sababu ni jukumu lake kuwafanya wachezaji kuwa kwenye kiwango kwa muda wote na ndio maana wachezaji wakawekewa ratiba ya kufanya mazoezi chini ya mwalimu na benchi lake la ufundi.
mwenye namba za muheshimiwa haraka haraka anitumie tafadhali nataka kuunga mkono juhudi za wasichana kama alivyofanya julia matatiro ,naamini huku sitakutana na kisingizio cha ukosefu wa jenereta kwenye mechi za usiku.
- kama sari ball ndani ya miezi miwili ametengeneza falsafa yenye kueleweka ndani ya chelsea kwa nini jose mourinho ashindwe ndani ya miaka 3, ukimuondoa eden hazard, willian, azpiliqueta na ngolo kante chelsea kuna mwanadamu gani wa ajabu?
- juzi nilibahatika kuangalia mechi ya arsenal dhidi ya everton nilishangazwa na nilichokiona, licha ya kuwa na average player wengi kuliko hata sisi kwenye kikosi chao ila cha ajabu arsenal wameanza kucheza mpira wa kisasa na wenye kueleweka, wanaanza chini vizuri, torreira na xhaka wanakaba na kusogeza timu kwa nidhamu, bellerin anasogeza timu vizuri kuliko valencia, aubameyang anafunga na kutengeneza mashambulizi ya kueleweka kuliko mzimu wetu unaolipwa millioni 700 kwa kila wiki, kama watafanyia kazi eneo la ulinzi basi upo uwezekano wa arsenal kumaliza top 4, na tusisahau kocha wao ana miezi mitatu tokea aanze kazi kwa nini mourinho ashindwe?
View attachment 878528
wanakondoo muliopotea njia unapoona huwezi kushabikia timu pinzani ya kiume basi tafuteni furaha japo kutoka kwa jinsia pinzani.
usishangae utakapoambiwa ilo goli limefungwa dakika ya 86, naona wachezaji wote jezi zao hazijachafuka, au walikuwa wanarekodi tangazo la biashara?
"We knew that if we go past the seventh we were going to be in trouble with Jones, with Eric, with Lee - not good penalty takers - but we took it all well and we missed one.”.
tofauti pekee iliyopo kati ya jose mourinho na jamali pamba maandazi ni rangi ya ngozi zao ila wote hawapendi kuandikiwa hotuba.
Jamali Pamba Maandazi ni kocha wa Mbao Fc au? [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]hahahahahahaaaaa nilikuwa sijaangalia marejeo ya mechi ya jana ila ndio nimeliona goli la kijana wilson muda huu, free kick kama zile nimezoea kuziona zikipigwa na mchawi kutoka uholanzi ambaye ndiye kocha wa muda huu wa uholanzi muheshimiwa ronald koeman.
aigooooo nimeunga bando langu muda huu nataka niangalie magoli yote aliyofunga romelu lukaku tokea aanze kucheza mpira wa ushindani, dhumuni langu kubwa nataka niangalie amefunga magoli mangapi ambayo ametoka na mpira nje ya eneo la adui, amefunga magoli mangapi akiwa amezongwa na mabeki wawili na amefunga magoli mangapi akiwa na goal kipa, hizi nafasi anazopoteza ndio ziliwafanya kina didier drogba waonekane ni wafungaji mahiri haliyakuwa walikuwa hawawezi hata kupiga chenga.
najua watajitokeza wenye takwimu uchwara kumlinganisha lukaku na drogba.
kuna baadhi ya wachangiaji wanadai ya kwamba manchester united tuna average player wengi sana ukilinganisha na timu nyenginezo, hoja zao ni za msingi kiupande fulani lakini ninavyofahamu mimi inapotokezea mtoto ni mwenye tabia mbaya lawama zote huelekezwa kwanza kwa wazazi wake wawili ndipo huelekezwa kwa mtoto.
hivyo basi haitatokezea hata siku moja lawama za kufanya vibaya kwa timu zikaelekezwa kwa wachezaji ila kocha ndiye atakeyebebeshwa lawama kwa sababu ni jukumu lake kuwafanya wachezaji kuwa kwenye kiwango kwa muda wote na ndio maana wachezaji wakawekewa ratiba ya kufanya mazoezi chini ya mwalimu na benchi lake la ufundi.
mwenye namba za muheshimiwa haraka haraka anitumie tafadhali nataka kuunga mkono juhudi za wasichana kama alivyofanya julia matatiro ,naamini huku sitakutana na kisingizio cha ukosefu wa jenereta kwenye mechi za usiku.
- kama sari ball ndani ya miezi miwili ametengeneza falsafa yenye kueleweka ndani ya chelsea kwa nini jose mourinho ashindwe ndani ya miaka 3, ukimuondoa eden hazard, willian, azpiliqueta na ngolo kante chelsea kuna mwanadamu gani wa ajabu?
- juzi nilibahatika kuangalia mechi ya arsenal dhidi ya everton nilishangazwa na nilichokiona, licha ya kuwa na average player wengi kuliko hata sisi kwenye kikosi chao ila cha ajabu arsenal wameanza kucheza mpira wa kisasa na wenye kueleweka, wanaanza chini vizuri, torreira na xhaka wanakaba na kusogeza timu kwa nidhamu, bellerin anasogeza timu vizuri kuliko valencia, aubameyang anafunga na kutengeneza mashambulizi ya kueleweka kuliko mzimu wetu unaolipwa millioni 700 kwa kila wiki, kama watafanyia kazi eneo la ulinzi basi upo uwezekano wa arsenal kumaliza top 4, na tusisahau kocha wao ana miezi mitatu tokea aanze kazi kwa nini mourinho ashindwe?
View attachment 878528
wanakondoo muliopotea njia unapoona huwezi kushabikia timu pinzani ya kiume basi tafuteni furaha japo kutoka kwa jinsia pinzani.
usishangae utakapoambiwa ilo goli limefungwa dakika ya 86, naona wachezaji wote jezi zao hazijachafuka, au walikuwa wanarekodi tangazo la biashara?
"We knew that if we go past the seventh we were going to be in trouble with Jones, with Eric, with Lee - not good penalty takers - but we took it all well and we missed one.”.
tofauti pekee iliyopo kati ya jose mourinho na jamali pamba maandazi ni rangi ya ngozi zao ila wote hawapendi kuandikiwa hotuba.
mbao fc ya magogoniJamali Pamba Maandazi ni kocha wa Mbao Fc au? [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Shukrani mkuu tutakuja ua kocha ndo board ielewe hatuna mioyo ya chuma[emoji1] [emoji1] [emoji1] Mkuu pole hahaha
ni bora upigwe na mwanamme aliyekamilika kwa kila kitu kuliko kupigwa na mwanamme mwenye tabia za elton john.Ngoja tumalize kiporo chetu usiku tuje kuchekana vyema
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]ni bora upigwe na mwanamme aliyekamilika kwa kila kitu kuliko kupigwa na mwanamme mwenye tabia za elton john.
Pogba jeuri kichizi,Hili Lipogaba kutogombana nalo inabidi uwe ya uvimilivu unaokaribia kuwa sawa na ujinga.
Ila na kocha ni lofa, sijui kwa nini anang'ang'ana kumpanga. Mid acheze Fred, Matic na Hererra. Jamaa lina mwili lakini linadondoshwa ovyo. Eti timu ishambulie wakati yeye ndiye anakawia kurelease mpira
sasa na nyinyi mmezidi pambaneni na shida za team yenu na sio kulinganisha wachezaji!Liver hawana mchezaji hata mmoja kuzidi United. Ni mipango ya kocha na saikolojia ya wachezaji. Huyo Sara ni nyoroto/soft kuliko hata Martial lakini anatupia.
Ametemwa kwa kukosa michezo ya kutosha ngazi ya Club. He is more talented than Salah. Kwani Salah aliyeitwa kikosi cha Egypt kuna cha ziada alichofanya. Martial akicheza chini ya kocha makini, ni mzuri.sasa na nyinyi mmezidi pambaneni na shida za team yenu na sio kulinganisha wachezaji!
hivi wewe kwa akili zako zote unamlinganisha martial na salah?? jamani mbona mnakosa adabu??
huyo martial hata kwenye kikosi cha France katemwa alafu unamfananinsha na puskas award winner!!!?? salah ni mchezaji wa sayari nyingine bhana!!
tuzungumze kama vile tunajua mpira jamani! uwezi kulinganisha kikosi cha misri na France! ninachokukuakishia salah kama angekua mfaransa bila wasiwasi dedier dechamps angumjumuisha na salah kwenye kikosi cha France lakini sio crap martial!!Ametemwa kwa kukosa michezo ya kutosha ngazi ya Club. He is more talented than Salah. Kwani Salah aliyeitwa kikosi cha Egypt kuna cha ziada alichofanya. Martial akicheza chini ya kocha makini, ni mzuri.
Umenena ukweli kabisa mkuu.ni bora upigwe na mwanamme aliyekamilika kwa kila kitu kuliko kupigwa na mwanamme mwenye tabia za elton john.
Kuandika kwenyewe hujui,Angalia ile look ya pogba kwa mou kama anamwangalia awala yake
POGBAOUT
Sikutaka kulinganisha wachezaji hao bali hoja ilikuwa kuona influence ya mwl kwa wachezaji. Jiulizd ni ipi ilikuwa nafasi ya Salah kabla ya Jugen?tuzungumze kama vile tunajua mpira jamani! uwezi kulinganisha kikosi cha misri na France! ninachokukuakishia salah kama angekua mfaransa bila wasiwasi dedier dechamps angumjumuisha na salah kwenye kikosi cha France lakini sio crap martial!!
salah amekua mfangaji bora last season; nikuulize wewe martial amekua utd tokea enzi za Sir Furgason, Moyes, LVG, giggs na sasa Mourihno : alishawai kufikisha hata goal 20 in EPL??
tuwe tunaheshimu records jamani!
martial akija Liverpool ata bench akai nakwambia!
Mourihno sio kocha bora interms of how to build up the unity, solidality in the team!Sikutaka kulinganisha wachezaji hao bali hoja ilikuwa kuona influence ya mwl kwa wachezaji. Jiulizd ni ipi ilikuwa nafasi ya Salah kabla ya Jugen?
We jamaa huna unachojua Naanza na lugha kwanza si kiswahili au Kiingereza , kote hujui lolote mpaka kupigishanaYeye kafanyaje sasa wachezaji wengi Man United ni michicha tu mkuu hili kubali ukatae
We have more of average players than Top class player's
nina wasi wasi duniani jose mourinho wapo wawili na huyu aliopo manchester united ni kivuli chake, jose mourinho wa ukweli huenda yupo fukwe za ibiza muda huu na bukta lake la fiesta anasubiri ujumbe wa tafadhali nipigie kutoka kwa ed woodward ili kuifundisha manchester united pindi watakapoamua kumfukuza jose mourinho wa uongo.
- dah! jamaa alikuwa na uwezo wa kutengeneza utatu mtakatifu kuliko ule wa pirlo + vidal + pogba = juventus
- alikuwa na uwezo wa kutengeneza utatu mtakatifu kuliko ule wa mascherano + alonso + gerrard = liverpool
- alikuwa na uwezo wa kutengeneza utatu mtakatifu kama wa gattuso + pirlo + kaka = ac milan
- alikuwa na uwezo wa kutengeneza utatu mtakatifu mgumu unaowakutanisha uwanjani michael essien + claudio makelele + super frank lampard.
- alikuwa na uwezo wa kutengeneza utatu mtakatifu mgumu kama wa ngolo kante + matuidi + pogba = france
- jamaa alikuwa na iuwezo wa kutengeneza utatu mtakatifu unaovutia kama wa casemiro + modric + kroos = real madrid
- jamaa alikuwa na uwezo wa kutengeneza utatu wenye kuvutia kama wa gustavo + schweinsteiger + toni kroos = bayern munich
- bila ya kusahau utatu mtakatifu wa cambiasso + sneijder + tiago motta = inter milan.
View attachment 878681
kadri siku zinavyosonga mbele CV ya jose mourinho wa uongo inazidi kupungua uzito kama cheti cha form 4 cha mkuu wa mkoa wa mji ule