radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Mpira bahat tu hakuwa na kiwango kizur kama leo tu mlivyocheza nae kila mara wanapasiaNdondo eeh!
Umesahau jamaa alichokufanyia kwako.
Mpira bahat tu hakuwa na kiwango kizur kama leo tu mlivyocheza nae kila mara wanapasiaNdondo eeh!
Umesahau jamaa alichokufanyia kwako.
Ni kweli kabisaHahahaha. Kocha aheshimiwe.
Mpira bahat tu hakuwa na kiwango kizur kama leo tu mlivyocheza nae kila mara wanapasia
Yasije yakarudi tu maana huwa hamuaminiki kabisa
Sijafurahia tunavyochez kipindi cha pili. Kama tuliweza mwanzo,kwanini sasa hivi turudishe timu nyuma?
Madam, ikitokea timu haina jukwaa goli lake unaweka wapi?
Huwa naipotezea hio GIF ya goli.