Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ni takwimu za epl sio sisi idadi ya mechi na magoli waliyofunga yani muda uliotumika kuifikia rekod ya drogba naona wengi wanakurupuka huu mjadala hawalinganishi uwezo ni kama vile salah alivyovunja rekod ya ronaldo ya magoli mengi epl ktk msimu mmoja
Hapo sawa mi nilifikiri ni nani alikuwa bora kati yao
 
Kama Zidane atakubali kuja man united basi atakuwa amekubali kupoteza heshima yake aliyoijenga kwa tabu pale Santiago Bernabeu.
Zidane bado. Hajajenga timu Mdrid. Madrid inabebwa individual brilliance. Timu japo inashinda, uchezaji wake km United.
 
Haya humu ndani mpo?
Kikosi hicho
cdixon488-20180915-0001.jpg
 
Back
Top Bottom