Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,530
- 81,257
Kwani FIFA ratings zinaangalia Transfer market fee mzee baba au uwezo wako uwanjani?
Huyo Fred bado sana hana tofauti na shamba boy wetu hapa maskani.
Kwani FIFA ratings zinaangalia Transfer market fee mzee baba au uwezo wako uwanjani?
Kama Zidane atakubali kuja man united basi atakuwa amekubali kupoteza heshima yake aliyoijenga kwa tabu pale Santiago Bernabeu.
Wazo likiwa na ushahidi litasikilizwa ila likiwa halina data litapingwaTumia kauli nzur heshimu wazo la mtu
Upo vizuri Mungu akubarikiWazo likiwa na ushahidi litasikilizwa ila likiwa halina data litapingwa
AhsanteUpo vizuri Mungu akubariki
Rojo si kazidi miaka 23 au sheria za hio kitu ipoje ebu ufafanuzi kama unafatilia iyo kituRojo na dalot wameanza mechi ya U23 muda huu
Sheria ina ruhusu kama sikosei si chini wachezaj watatu waliozid miaka 23 kutafuta mechi fitness kwa wachezaj waliotoka majeruhi.Rojo si kazidi miaka 23 au sheria za hio kitu ipoje ebu ufafanuzi kama unafatilia iyo kitu
Sheria ina ruhusu kama sikosei si chini wachezaj watatu waliozid miaka 23 kutafuta mechi fitness kwa wachezaj waliotoka majeruhi.
Daa kuna gonga zimepigwa chong,gomes na dalot hatar sana
mkuu unazipenda sana gonga ila kwa mourinho itakuwa alibahatisha tuWalikuwa madogo mkuu.![]()
mkuu unazipenda sana gonga ila kwa mourinho itakuwa alibahatisha tu
Ni takwimu za epl sio sisi idadi ya mechi na magoli waliyofunga yani muda uliotumika kuifikia rekod ya drogba naona wengi wanakurupuka huu mjadala hawalinganishi uwezo ni kama vile salah alivyovunja rekod ya ronaldo ya magoli mengi epl ktk msimu mmojaNani anamfananisha Drogba na kibonge lukaku kisa magoli