ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,056
Wacha wajifariji aisee.Poleni, naona mmebaki kujikumbusha yaliyopita.
Nimeona kuna mwenzenu anashangilia 12 - 0 za Man Utd women.
Kazi kweli kweli.
Wacha wajifariji aisee.Poleni, naona mmebaki kujikumbusha yaliyopita.
Nimeona kuna mwenzenu anashangilia 12 - 0 za Man Utd women.
Kazi kweli kweli.
Ndugu kiungo kariba ya pogba kivipi,kwani huyo kijana hadi sasa kafanya nini kikubwa hadi umtolee mfano!?Kama watafanya hivyo lazima wamchukue na kiungo kariba ya pogba au zaidi inatukost mara mbili.
Aondoke aje England sasa azitafute tuzo akiwa united
Mafundi hata Man U wapo ila hawajaruhusiwa kuonyesha ufundi na minyumbuliko yao. Timu ya taifa jamaa anakuwa huru sana. Huku Man U ukitaka Uhuru ktk nafasi yako utaambiwa katafute timu yenye Uhuru,kwa hiyo tatizo litarudi palepale kwa kocha. Ukicheki game mbili za mwisho kwenye EPL timu imecheza vizuri sana ila ktk upande Wa team work zaidi,ukija kwenye ubunifu wa utengenezaji nafasi bado huoni namba 8 na wings hazitengenezi nafasi kiufundi zaidi hasa Push passes, Wall passes na Chip passes Japo hizi pogba huwa anapiga kidogo sana.Lukaku si mbaya
Namtazama Timu ya taifa hapa, najifunza jambo.
Anazungukwa na mafundi
View attachment 864360
hey MR DJ kutoka chato fm naomba unipigie wimbo wa mkataa kwao ni mtumwa uwe ni dedication kwa mabaharia wote wa nchi kavu.
wanasema wenye lugha yao kupanga ni kuchagua.
kila la kheri muheshimiwa andreas perreira kwa maamuzi uliyoyafikia na kwakuwa hatukuchangii hata hela ya bundle basi acha tuendelee kuheshimu maamuzi yako.
Naona kama kidogo yeye na matic wapo daraja fulani japo hajafanya kitu ambacho tulitarajiaNdugu kiungo kariba ya pogba kivipi,kwani huyo kijana hadi sasa kafanya nini kikubwa hadi umtolee mfano!?
Alikuwa sahihi baba ni mbrazil mama ni mbelgij
View attachment 864360
hey MR DJ kutoka chato fm naomba unipigie wimbo wa mkataa kwao ni mtumwa uwe ni dedication kwa mabaharia wote wa nchi kavu.
wanasema wenye lugha yao kupanga ni kuchagua.
kila la kheri muheshimiwa andreas perreira kwa maamuzi uliyoyafikia na kwakuwa hatukuchangii hata hela ya bundle basi acha tuendelee kuheshimu maamuzi yako.
Wakuu naona uwepo wa lukaku unatufanya tushindwe kupata ubora wa rashford anahangiaka sana akitokea pembeni
Ujinga kuamini iko kitu mbona huwa anaanzishwaga kwenye mechi za fa na hafanyi kituWakuu naona uwepo wa lukaku unatufanya tushindwe kupata ubora wa rashford anahangiaka sana akitokea pembeni
w Maybe that will shut Jamie The Spitter Carragher up for a while. He was talking utter nonsense the other night on the England game. Didn’t hear him bleating about Liverpool’s youngsters not getting a game, and telling them to leave and go to another club. He is lucky to have a job and should maybe consider how he goes about it and how he conducts himself.
Press ya Mou. Kama kawaida yake vituko haviishi 🤣
Tumia kauli nzur heshimu wazo la mtuUjinga kuamini iko kitu mbona huwa anaanzishwaga kwenye mechi za fa na hafanyi kitu