Suala la kuwahi kucheza mpira nlitaka niulize pia ila nikaona ndugu anaweza tafsiri vibaya nikakausha. Ila haya huwa yanatokea automatic hata kama umekanywa vipi na Mwl au wanasaikolojia Wa timuHahahah umewahi kucheza mpira?? Na umeona kisa cha yeye kureact?? Refa ndio kachemka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaa kwa ishu ya Lukaku Mimi bado namuona ni good Striker na siyo top striker!samahani ni LUKAKU, an sio wewe ila kuna mafundi humu ndani waliombeza na kusema sio striker mzuri, mara ni mzito, mara hana ubunifu nk
Ni kweli jamaa analeta balance ya timu. Ila kwa game ya Brighton Mkuu kwa jinsi timu ilivyocheza hata angekuwa nani asingeibadili. Timu yote ilikuwa hovyo kabisa,nzito haitembei duu!Did you see the impact of Matic on last two game ?
I agreed!kuna chance kama mbili alikosa kizembeDaaa kwa ishu ya Lukaku Mimi bado namuona ni good Striker na siyo top striker!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila naona mabeki wenu wamerudiMourinho post-match : "I'm happy today, but some of you might be disappointed"
Ujue fellain jana kawafanya smalling na lindelof wawe bora ila pogba bado naona hataki kubadilika japo watu watanipinga yupo slow sana kwenye maamuziIla naona mabeki wenu wamerudi
Jana nilimuona Lukeshaw katika ubora wake naweza kusema ndiye beki bora wa man u kwa sasa
E&K
Samata anahangaika genk lukaku kishatoka huko hebu tuhakikishie ukweli wa mawazo yako umetumia kigezo kipi mkuu?Lukaku na samatta bora samatta
E&K
Nawa ambia nyie manure...ushindi dhidi ya Burnley sio wa kumaanisha sana. Bado timu ni mbovu sana!unamuambia nani sasa
Point gani apo? Ushindi wenu hauwezi kudhibitisha chochote kile. Burnley haijashinda gemu hata moja.!Point
Lindolef hachez kabisa mipira ya juu akiruka na mshambuliaji lazima aanguke ila katakuwa poa kwa mech ya jana nilitumia muda mwingi kumuangalia yeye nilichogundua tunahitaj jemedali mmoja ndipo dogo aendelee kukomaa taratibu umri wake bado mdogo kocha ajae atafaidika sana ni hizo damu changa pia diogo dalot yupo poa nimemuona kweny under 23 juz japo anatumakosa umr nae bado miaka 19 hii ina maana kama shaw ataendelea na kiwango chake bora suala la mabek wa pembeni tunaweza kuanza kulikimbia hapo wakirudi wakina fosu mensah na axel tuanzebe na demitr mitchel na bailly timu ipo suala ni uvumilivu tu.mwnadamu pekee wa kumuokoa romelu lukaku na hii aibu aliyonayo ni diogo dalot.
inaonyesha dhahiri romelu lukaku mguu wake hauna shabaha ya uhakika kuliko kichwa chake.
nafasi alizoendelea kuzitupa mechi ya jana upande wa pili lionel messi kaitumia vizuri.
diogo dalot ni hodari sana kwa kupiga krosi kuliko mlinzi wowote tulienae kwenye timu yetu.
victor lindelof amepewa kila kitu ambacho mlinzi wa kisasa anatakiwa kuwa nacho lakini cha ajabu ameshindwa kuwa na nguvu za kutosha kwa ajili ya kupambana na washambuliaji.
hizi nguvu alizopewa phil jones natamani ziingie kwenye mwili wa lindelof japo kimiujiza.
Nani kamzuia?Point gani apo? Ushindi wenu hauwezi kudhibitisha chochote kile. Burnley haijashinda gemu hata moja.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Apo man u hakuna viungo kama akina Kante Ngolo, Zonzi.. Ndo maana hang'ai na sio kwamba hapendi kubadilika.!Ujue fellain jana kawafanya smalling na lindelof wawe bora ila pogba bado naona hataki kubadilika japo watu watanipinga yupo slow sana kwenye maamuzi