Halafu kuna watu wanakwambia yule kocha apewe united kisa mpira wa pasi leo tumeshinda wanalala mbele tukifungwa mourinho mbaya
Kila siku nawaambia tuishabikie timu bila kujali kocha ni nani tupo kipind cha mpito
Rashford kalewa sifa na kupewa ile jez namba kumo ndo kapotea kabisa alitakiwa abaki na 19 tu
Vipi Lukaku leo, bado asulubiwe au?HONGERA ZETU.
Majirani nimeamua nijipongeze mwenyew maana haiwezekani mpaka sasa hivi hamuonekani kwenye huu Uzi.
Mnapenda misiba tuu mnywe chai na mandazi.? Leo huku hapaliki.
Full time tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wachezaj wetu ni kujituma tu na baadhi ya mapungufu tuliyonayo huwa yanaonekana mapema tu kwa mfano alipocheza fellain panahitaj mtu wa kazi kocha kaonesha haya tukija ktk mech yenye pressure fellain atachemka kwa kuwa sio sehem yake ndo mana nasema ed woordward ukaid wake sioTatizo la Mou naye haaminiki mkuu.
Leo tumecheza vizuri tumshukuru Mungu.
Watford wapo kwenye peak..acha masihara mkuu..kwa kikosi cha spurs kocha anafanya kazi nzuri sana..tuache unafkiHalafu kuna watu wanakwambia yule kocha apewe united kisa mpira wa pasi leo tumeshinda wanalala mbele tukifungwa mourinho mbaya
Kila siku nawaambia tuishabikie timu bila kujali kocha ni nani tupo kipind cha mpito
Martial anatakiwa kujifunza kwa shaw kwa sasa had young tunamsahau😀😀😀Mou sijui atampanga lini tena.
Huu utani unaoleta mkuu hebu jaribu kuandika vitu vya kujenga basiWatford wapo kwenye peak..acha masihara mkuu..kwa kikosi cha spurs kocha anafanya kazi nzuri sana..tuache unafki
Sent using Jamii Forums mobile app
Martial anatakiwa kujifunza kwa shaw kwa sasa had young tunamsahau
Utani gani ninaoleta mimi??..watford na man u nani yupo vizuri hadi sasa kwenye hizi mechi nne so far tulizocheza??..umeshawaangalia watford wanavyocheza??Huu utani unaoleta mkuu hebu jaribu kuandika vitu vya kujenga basi
Uliangalia takwimu za united na spurs?Utani gani ninaoleta mimi??..watford na man u nani yupo vizuri hadi sasa kwenye hizi mechi nne so far tulizocheza??..umeshawaangalia watforf wanavyocheza??
Pochetino ni kocha mzuri kwa soka la kileo hilo halina ubishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha bora hupimwa kwa kigezo gani?Utani gani ninaoleta mimi??..watford na man u nani yupo vizuri hadi sasa kwenye hizi mechi nne so far tulizocheza??..umeshawaangalia watforf wanavyocheza??
Pochetino ni kocha mzuri kwa soka la kileo hilo halina ubishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikos hupangwa kutokana na Game na Mfumo utakao enda tumika Msipende kulaumu laumu kila sikuMou hana kikosi cha kueleweka ndo shida yake kila siku sura mpya first eleven
Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha anayetengeneza timu yenye chemistry kila idara ambayo mwisho wa siku inampa matokeo chanya..spurs ambao unasema sijui kocha kafanyaje,,walikuja OT na kutulaza tatu bila huku tukiwa tunashangaaKocha bora hupimwa kwa kigezo gani?
Kwa ulichoandika hapa naomba kwa heshima na tuendelee kuheshimiana naomba ukiona post zangu zipuuze na mm za kwako ntapuuza.Kocha anayetengeneza timu yenye chemistry kila idara ambayo mwisho wa siku inampa matokeo chanya..spurs ambao unasema sijui kocha kafanyaje,,walikuja OT na kutulaza tatu bila huku tukiwa tunachangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kahojiwa before game kasema kwann anamtumia fella leoMkuu wachezaj wetu ni kujituma tu na baadhi ya mapungufu tuliyonayo huwa yanaonekana mapema tu kwa mfano alipocheza fellain panahitaj mtu wa kazi kocha kaonesha haya tukija ktk mech yenye pressure fellain atachemka kwa kuwa sio sehem yake ndo mana nasema ed woordward ukaid wake sio
Hilo halina tatizo..hii ndo qoute yangu ya mwishoKwa ulichoandika hapa naomba kwa heshima na tuendelee kuheshimiana naomba ukiona post zangu zipuuze na mm za kwako ntapuuza.