Good Man
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 932
- 1,173
Sababu man u hakuna wachezaji wenye potential ya hazard au pedroKwa mshambuliaji kama Lukaku,sijui!
Morata anazingua lakini Chelsea wametumia uwezo wa kina hazard na Pedro wameshinda game.
Ukiiangalia wachezaji wetu ni kama vile hawajuagi nini wanataka wanapokuwa uwanjani.
Sent using Jamii Forums mobile app

Goals scored since the start of the 2017/18 season:
️ Salah, Mane & Firmino: 104
Wow.