Na Sanchez unamuweka wapi, bonge la striker, powerful, ana shabaha, pale hatumiki tu!Tatizo kubwa la Lukaku hana mnyumbuliko na skills za ziada kuwapiku mabeki.
Tulihitaji striker wenye Kariba ya Cavan, Sadio Mane au Aguero.
Tuna safari ndefu kiasi kufikia mafanikio licha ya kuwa nanwachezaji wazuri sehemu ya kati,.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Sanchez unamuweka wapi, bonge la striker, powerful, ana shabaha, pale hatumiki tu!
Baada ya kuangalia review play ya ile game, mabeki wa Man wakiendelea hivi wasubiri makapu ya magoli. marking na aggressiveness ya kuokoa mipira ilikuwa very very poorJuma 3 licha ya kupoteza, mimi nnaamini tulicheza mpira tunaopaswa kucheza kila siku kukiwa na narekebisho kwenye marking na finishing. Tungeshinda sisi tatu lakini kwa mchezo ule wa kudefend, tungepondwa kuliko hata tunavypondwa sasa.
Inabidi itafutwe namanHerera anaweza kuwa-accommodated kwenye midield, tutamwona Fred na Pogba wanaotisha km mvua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lukaku ni mzuri sana, tatizo la mashabiki wa Man U mnamfananisha mchezaji na mchezaji. Angalieni upande wa pili wa Lukaku, so powerful, anacheza dakika zote, yuko na shabaha akipewa pasi nzuri. Tatizo pale ni wanaotakiwa kutoa mipira hawafanyi vizuri kazi yao.Mech ya spurs tungekuwa na striker makin mech iliisha kipind cha kwanza
Hata body bado inamtaka MO, washabiki walio wengi bado wana imani na MO. Ni hapa JF tu ndio wanamuona MO hafaiSupport ya Giggs sidhani kama inaweza kumbakisha kama atapoteza tena mechi dhidi ya Burnley mkuu.
Lukaku ni mzuri sana, tatizo la mashabiki wa Man U mnamfananisha mchezaji na mchezaji. Angalieni upande wa pili wa Lukaku, so powerful, anacheza dakika zote, yuko na shabaha akipewa pasi nzuri. Tatizo pale ni wanaotakiwa kutoa mipira hawafanyi vizuri kazi yao.
Ushauri, Pogba akiuzwa Man U watakuwa wazuri sana kwani kocha na wachezaji wenzake wana expectation kubwa kutoka kwa Pogba ambayo kwa kweli haitimizi kabisa. Masifa na mbwembnwe nyingi akiwa na mpira zinamfanya awe na analoose mipira mara kwa mara
Pogba ana attitude mbaya ambayo haitamletea mafanikio pale Old Traford has tangu Sanchez anunuliwa na kulipwa mshahara mkubwa kuliko yeyeAuzwe Pogba? Sidhani Kama Kuna Kocha Mwenye Akili Timamu Anaweza Kumuuza Mchezaji Aina Ya Pogba.
Pogba ana attitude mbaya ambayo haitamletea mafanikio pale Old Traford has tangu Sanchez anunuliwa na kulipwa mshahara mkubwa kuliko yeye
Inasikitisha sanaJapo sio mshabiki wa Man United Ila jamaa amenishtua alivyowataja akina Sanchez,Lukaku,Mata,Matic,Pogba,De Gea ni wachezaji wa kawaida tu ukilinganisha na wa Man City.
Hawa ni wachezaji wa kiwango cha juu kama wa Man City tu na zaidi wanaweza wakawapita pia.
Hivi Ukiunda combined Timu ya Man City/United mbona wachezaji Wengi watatoka United? Kubalini tu Mourinho hana mbinu za kuipa United Makombe.
Hebu angalia Pogba akicheza Ufaransa na alivyokua Juventus..Leo Mourinho anamuona hana kiwango.
kweli kabisa. hichi kikosi angekuwa nacho babu. tungebeba makombe yote tunayo shiriki.Mzee Furgie alikuwa na wachezaji hovyo kuliko hata hawa wa Mo lakini alikuwa akiunganisha ubingwa kwa ubingwa wa EPL na yale makombe madogo
Ok
Hawatak kufanya makosa kama walivyofanya kwenye hizo timu hadi waliziacha zikaanza kuyumba liverpool anarudi.So were Nottingham Forest, Liverpool
Wala tatizo sio hilo, tatizo ni malipo ya Sanchez tu. Hata akitoka Mo, Pogba hataridhika mpaka auzwe ili akalipwe mshahara anaoutakaTatizo lipo Kwenye Dressing Room! Ni kwamba Mourinho Kalose Control.
Siku atakayoondoka Mourinho na Akapatikana New Coach amabaye Ataidhibiti Dressing room, basis Pogba atarudi upya.
Lazima tuelewane safari hii. Ukweli tunaujua wote.Naona UNAJITAHIDI SANA KUTOMWELEWA JAMAA!