Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Nikiangalia hiki kikosi kilichombamiza mtu nane,naona kabisa matatizo ya kiuongozi ndani ya timu yetu.
Hivi kumbeeeee....ndiyo maana Tot walipwayaPole ndugu zangu kwa kipigo. Sipati picha kama Son angekuwepo na angeanza kwa beki ya Jones na Smalling. Kingekuwa kipigo cha mbwa koko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa ni bora angekubali kuja pale darajani ona sasa amekuwa kitu cha ajabu.!
Inafika mahali uvumilivu kocha una mshinda mi ninemuelewa sana jamaa sasa huyu ni strikerView attachment 849004
ana tabia za kike.Mimi Naamimi Kuna Jambo Haliposawa Kwa Mourinho! Ni kweli Hakosi la Kujibu ila Ni Vizuri aconcentrate kwenye Hoja zitokanazo na Maswali anayoulizwa. Kwakweli Majibu Ya Mourinho Kwenye Press Conference yamenifanya nizifuatilie Hizi Conferences zake.
Kinacho nishangaza Ni Kwanini Anapoulizwa Maswali Kuhusu Man United na Reporters Wa Man U yeye Katia Majibu Yake Hufanya Matatizo Ya Liverpool Kuwa Ndiyo Kigezo na Hija Yake Kubwa ya Utetezi??
Kwamfano alipoulizwa Mwenendo Wa Timu Yake alijibu "Watu Wananilaumu Mimi Niliyemaliza Nafasi ya Pili (Last Season) na Kumuona Bora Mtu (Klopp) ambaye Hajashinda Chochote".
Sasa Liverpool inahusu Nini Katika Press Zake Jamani? Mourinho huwa Hakosi Jibu Hata Kama lipo nje Ya Mada.
Na njia moja ya Kujitetea kwake Ni Kushambulia Bodi, Wachezaji na Makocha Wa Timu Nyengine.
Nashangaa lukaku anawezaje kucheza chini ya Mou ambaye alimuuza akiwa Chelsea. Lukaku alishindwa kujiongeza na kujua kuwa anaenda kucheza na kocha aliyemtimua?Hatar sna lukaku hamna nmna ndo mcheaj wetu tena mkuu ukiwa na striker kwa mtindo huu ni ngumu sana kuwasumbua mabek wa timu pianzani sas wao watakuwa hawana kazi zaidi ya kuchukua mipira kwa lukaku ambapo haikai mbelr nakjanzisha mashambulizi kuja kwetu watu hawaoni umuhimu wa bek nzur tobby kachukua mipira mingi sana kwa lukaku.