Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Unajua kuna watu huwa hamjui kitu mnaorodhesha watu ambao kocha anaanza kuomba mpango wa pili baada ya chaguo la kwanza kufeli
Hivi unatambua?
Sasa Kama Kafeli Kwa Mabeki Hao wote Watatu unadhani Ed atamuamini tena kuwa akimpa pesa akatafute Beki hatofeli tena?
