Hatar sana mkuu nimeshangaa hata juhudi ndogo tunazidharau ujue wengi tuliikuta timu kwenye hali nzur ndo mana kufarakana hakuish kipind hikiMkuu huku ndan kuna watu wanauelewa mdogo sana kuhusu Football
Inawezekana pia na hao wenye uelewa mdogo wa football unaowasema wewe,wanakuona pia na wewe una uelewa mdogo tu vilevile..Mkuu huku ndan kuna watu wanauelewa mdogo sana kuhusu Football
Fact mkuuHuyo jamaa ni wale mashabiki wa kitaa wanachojua kwenye mpira ni Mourinho kocha mbovu! Full stop huwezi waambia kitu wakaelewa na hao ni wakuachwa waendelee kuumia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha watupige 3 kwa ule mpira wetu wa kuzubaa maana wanaforce ile mbayaAwa BHA wanavyocheza hadi wanatamanisha
Wacha watupige 3 kwa ule mpira wetu wa kuzubaa maana wanaforce ile mbaya
Lukaku sio type ya Manchester unitedNakubaliana na wewe mkuu,hao wote ni wachezaji wazuri tu.
Ila kikubwa ni hata tukibadili kocha basi tujue hatuna namba tisa wa kuaminika,Lukaku sio kabisa.
Inawezekana pia na hao wenye uelewa mdogo wa football unaowasema wewe,wanakuona pia na wewe una uelewa mdogo tu vilevile..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui jamaa anatumia kamat za ufundi kujizatiti. Control yake ya mipiara hata boko anamfunika
Ukimuwaza jinsi alivyokuwa Dimitir Berbatov utaona Lukaku bado sana.Sijui jamaa anatumia kamat za ufundi kujizatiti. Control yake ya mipiara hata boko anamfunika
Sent using Jamii Forums mobile app
Lukaku sio type ya Mourinho usiseme United
Ni kama pogba wa ufaransa na pogba wa man uLukaku sio type ya Mourinho usiseme United
watu wa Mourinho Ni Eto'o, Ibrahimovich, Drogba if you know what i mean
muangalie Lukaku wa Everton au Belgium halafu nioneshe tofauti yake na Nestrlooy
Exactly broNi kama pogba wa ufaransa na pogba wa man u
E&K
Ila nadhani national timu brilliance na approach vilimbeba Lukaku. United tunataka aibebe timu. Tatizo la controll linampa shida. Ni finisher mzuri km timu inatawala game japo hata kwenye finishing atakuwa behind legends km Ruud Van, Andy Cole na hata Berbatov. Ila physique na mipira ya juu yupo powaLukaku sio type ya Mourinho usiseme United
watu wa Mourinho Ni Eto'o, Ibrahimovich, Drogba if you know what i mean
muangalie Lukaku wa Everton au Belgium halafu nioneshe tofauti yake na Nestrlooy
Wewe huwezi kuumia na lolote lile kwako sawa tu kwa sababu hata timu yenyewe yawezekana umeanza kuifuatilia baada ya ujio Wa Mourinho. Na inaonyesha huwa unazunguka nae, yaani alipokuwa Chelsea ulikuwa shabiki Wa chelsea, alipoenda Inter ukaelekea huko,alipokuwa Madrid ukatokomea nae na sasa kaja kwenye timu yetu umemfuata. Ungekuwa mshabiki Wa kweli Wa Man U ungeumia sana na mpira mbovu inaocheza hii timu. Na shida siyo kufungwa au kufunga bali ni tunafungwaje? Tunashindaje? Timu inaposhinda watazamaji mnakuwa na roho mkononi na kutokuwa na uhakika hadi dakika ya mwisho,na mbaya zaidi haijalishi mnacheza na timu gani.Huyo jamaa ni wale mashabiki wa kitaa wanachojua kwenye mpira ni Mourinho kocha mbovu! Full stop huwezi waambia kitu wakaelewa na hao ni wakuachwa waendelee kuumia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app