Usisahau wigan alimpiga city fa na united alimpiga city kwake goli 3 sasa sijui makocha walikuwa wakina nani
Man city alimpiga arsenal na chelsea gem zikiwa zimafululiza unataka kutuambia alikuwa akicheza mechi nyepesi?Tuongelee msimu uliopita ambapo city alifungwa gemu mbili tu za ligi( ya liver na yetu)
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua wewe hunielewi..liverpool alimfunga city gemu zote za uefa pamoja na ligi moja..so liverpool walikuwa bora kushinda city kwa asilimia 75 msimu uliopita kwenye gemu walizokutana..sisi tumekutana la mtu aliyetoka kujeruhiwa two times tena uefa,,unadhani hata kiakili walikuwa sawa..ile gemu tulicheza nini zaidi ya kubahatisha bahatisha!!??..Man city alimpiga arsenal na chelsea gem zikiwa zimafululiza unataka kutuambia alikuwa akicheza mechi nyepesi?
Kumbuka alikuwa katoka kupigwa na wigan
Kisha akashinda mechi ya stoke na everton kwamba liverpool alimfunga kwa kuwa alikuwa na uchovu wa kucheza mech nne za ligi zote akiwa kashinda?View attachment 846721
Are you serious ?Man u tuliwafunga city baada ya wao kuwa wachovu(kumbuka walikuwa wametoka kucheza leg mbili za uefa dhidi ya liverpool)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata mm nakubaliana na wewe kwamba timu inacheza vibaya lakini kuna sababu za kuwa hivyo sio kocha tu hilo suala linakwenda had kwa edSiongelei matokeo ya mwisho mkuu @radika,bali playing style yetu. Kila game tunacheza kama underdogs dhidi ya mpinzani.
Am serious..maana walikuja OT tukalala..tena kwa kucheza utumbo..
Nimekuwekea had mech zake hamna alipofululiza akicheza na liverpool pia hiyo sio sababu ya kusingizia ndo mana kuna wachezaj 23Unajua wewe hunielewi..liverpool alimfunga city gemu zote za uefa pamoja na ligi moja..so liverpool walikuwa bora kushinda city kwa asilimia 75 msimu uliopita kwenye gemu walizokutana..sisi tumekutana la mtu aliyetoka kujeruhiwa two times tena uefa,,unadhani hata kiakili walikuwa sawa..ile gemu tulicheza nini zaidi ya kubahatisha bahatisha!!??..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufungwa mara mbili mfululizo uefa kuliwaathiri city kwa namna moja au nyingine..tulikuwa average kwenye ile gemu,,na tulitumia hiyo advantage ya wao kuchoka...Nimekuwekea had mech zake hamna alipofululiza akicheza na liverpool pia hiyo sababu ya kusingizia ndo mana kuna wachezaj 23
Kabla hatujakutana nae
Kaanza na
Wigan hapa kapigwa
Arsenal hapa kashinda
Arsenal hapa kashinda
Chelsea hapa kashinda
Basel hapa kapigwa
Stoke hapa kashinda
Everton hapa kashinda
Liverpool hapa kapigwa
Manchester united hapa kapigwa
United is wrong club to youAm serious..maana walikuja OT tukalala..tena kwa kucheza utumbo..
Sent using Jamii Forums mobile app
ChelseaKufungwa mara mbili mfululizo uefa kuliwaathiri city kwa namna moja au nyingine..tulikuwa average kwenye ile gemu,,na tulitumia hiyo advantage ya wao kuchoka...
Sent using Jamii Forums mobile app
Du jamaa katoa kali ya mwaka inabidi tuzoeane tu hamna namna
Sijasema uache kushabikia, sina hayo mamlaka na hata ningekua nayo nisingekuambia uache kushabikia haha (joke).Namaana kukuambia akiondoka poa akibaki poa hadi muda huu ni kocha niache kuishabikia timu? Ipi nguvu yangu ya kumfuta kazi mourinho mechi ile timu yote ilicheza vibaya mbona akishinda hamuonekani kuja na takwimu ushindi umepatikanaje? Kocha alifanya kila njia timu ipate ushindi ikiwa na pamoja na kupumzisha baadhi ya watu ukija kati pogba kuna muda anapiga chenga na kupoteza mipira hovyo kocha anafanyaje?
Nikuulize hivi ile gemu ya uefa salah asingeumia ile gemu ingeisha kama ilivyoisha siku ile??Chelsea
Liverpool
Spurs tulipowafunga walikuwa na uchovu wa mechi gani?
Sasa hapa napata picha mashabik wa hii timu ni watu wa namna gani.
Timu ilikuwa hovyo na maana mbinu za ile mech hazikuwa nzuri tunawachezaj wazur si wabovuSijasema uache kushabikia, sina hayo mamlaka na hata ningekua nayo nisingekuambia uache kushabikia haha (joke).
Unaposema team nzima ilicheza vibaya, unajua unamaanisha nini? Either wachezaji ni wabovu (which is not, at least sio kwa wote), kocha m'bovu (hawezi kufanya team icheze vizuri) au wachezaji hawataki tuu kucheza vizuri (and coach is comfortable with it) n.k. Sasa kwa muono wako tatizo lilikua wapi?
Na kusema kocha alifanya kila linalowezekana, unaweza kunipa mwanga kuwa ni yapi hayo?
#GGMU..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndo umenichekesha sana yani unaamini salah alikuwa kikwazo cha liverpool kubeba ndoo? Uliangalia bench la madrid na la liverpool kweli?Nikuulize hivi ile gemu ya uefa salah asingeumia ile gemu ingeisha kama ilivyoisha siku ile??
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali hujajibu umeanza kurukia mambo ya benchi..anyway bora nikaushe tu..Hapa ndo umenichekesha sana yani unaamini salah alikuwa kikwazo cha liverpool kubeba ndoo? Uliangalia bench la madrid na la liverpool kweli?
Ukiisoma statement yangu salah hata kama angekuwepo kichapo kilikuwepo hakuwa kikwazoSwali hujajibu umeanza kurukia mambo ya benchi..anyway bora nikaushe tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa ni wale mashabiki wa kitaa wanachojua kwenye mpira ni Mourinho kocha mbovu! Full stop huwezi waambia kitu wakaelewa na hao ni wakuachwa waendelee kuumia tu.Hapa ndo umenichekesha sana yani unaamini salah alikuwa kikwazo cha liverpool kubeba ndoo? Uliangalia bench la madrid na la liverpool kweli?