Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,563
- 21,516
Nimewacheki Liverpool Jana usiku , I'm very interested with KeitaTokea Jana Hakuna Hata Mmoja Aliyejitokeza, Wote Wamejificha Kwani Wameshindwa Kupata Kisingizio.
Wanasubiri Man United ije ishinde Mchezo Mmoja Waje Wajitokeze.
WaleWale,Fullback ndio shida yenu, kocha kaomba usajili akakataliwa, haya ndio matokeo
Kocha hana shida
Style haina shida
Kipa hana shida
Viungo poa
Washambuliaji nao poa
Body ya usajili wamsikilize kocha
Mo akisikilizwa anajua kuunda timu ya ubingwa na ndio maana akiwa Che alipewa rungu zote
Mechi dhidi ya Brighton centre backs waliocheza ni wale wale waliosajiliwa na Mourinho ambao ni Bailly na Lindelof. Na hao mabeki sio kwamba ni wabaya, ndo maana alikimbilia kuwasajili. Tatizo ni kwamba anashindwa kuwatumia.Fullback ndio shida yenu, kocha kaomba usajili akakataliwa, haya ndio matokeo
Kocha hana shida
Style haina shida
Kipa hana shida
Viungo poa
Washambuliaji nao poa
Body ya usajili wamsikilize kocha
Mo akisikilizwa anajua kuunda timu ya ubingwa na ndio maana akiwa Che alipewa rungu zote
Fullback ndio shida yenu, kocha kaomba usajili akakataliwa, haya ndio matokeo
Kocha hana shida
Style haina shida
Kipa hana shida
Viungo poa
Washambuliaji nao poa
Body ya usajili wamsikilize kocha
Mo akisikilizwa anajua kuunda timu ya ubingwa na ndio maana akiwa Che alipewa rungu zote
Dalili zote zinaonesha huu msimu Mourinho hamalizi lazima apigwe chiniLakini ndio kocha wa klabu yako mpka sasa na hakuna dalili zozote zile na kuondoka kwake.
Hivyo wewe endelea kuumia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly..juzi amecheza bailly na lindelof ambao wote wamenunuliwa na Mourinho..sasa bodi gani itatoa tu pesa kuongeza wachezaji na huku wachezaji anaowasajili hawa perform wakiwa chini yake??..liverpool ukiacha Van dirk wanamabeki wa kawaida ila klopp ameweza kuwatumia na kuwafundisha na wanacheza vizuri..sasa mourinho kwa nini ashindwe kuwatumia bailly,smalling,rojo,lindelof,jones,shaw,valencia,dalot??..Simple tu zama zake zimeisha na ni muda wa kutuachia timu yetu,kwani hata akibaki akichukua kombe moja ataondoka na ataacha timu ikiwa haina structure kabisaMechi dhidi ya Brighton full backs waliocheza ni wale wale waliosajiliwa na Mourinho ambao ni Bailly na Lindelof. Na hao mabeki sio kwamba ni wabaya, ndo maana alikimbilia kuwasajili. Tatizo ni kwamba anashindwa kuwatumia.
Je tuna uhakika gani kwamba angemsajili defender mwingine timu ingekaa sawa?
Haya basi tuseme defense yetu kimeo, vipi kuhusu attacking? Hata kama hawafungi magoli, je ni chances ngapi wanatengeneza? Stats zipo wazi maana hata kupiga shot on target inakua mtihani.
Hapo unakuja kuona kwamba kocha ni chanzo cha tatizo. Kuanzia game plan, style na mahusiano na wachezaji wake.
Mimi ni kati ya watu ambao hatutupi lawama kwa board members kwa sababu hii timu siyo ya kulilia kusajili wachezaji wengi kila msimu halafu wachezaji akiletewa wanaonekana hawafai kwa sababu hawezi kuwatumia.
Tatizo ni KOCHA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly..juzi amecheza bailly na lindelof ambao wote wamenunuliwa na Mourinho..sasa bodi gani itatoa tu pesa kuongeza wachezaji na huku wachezaji anaowasajili hawa perform wakiwa chini yake??..liverpool ukiacha Van dirk wanamabeki wa kawaida ila klopp ameweza kuwatumia na kuwafundisha na wanacheza vizuri..sasa mourinho kwa nini ashindwe kuwatumia bailly,smalling,rojo,lindelof,jones,shaw,valencia,dalot??..Simple tu zama zake zimeisha na ni muda wa kutuachia timu yetu,kwani hata akibaki akichukua kombe moja ataondoka na ataacha timu ikiwa haina structure kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 843022
Kibonge kama kawaida yake anawavuruga mpaka muombe poooo,ndio maana kibabu Fergi hakupenda kufanya kazi na uyu mnyonya damu.
Unazidi kunipa hasira. Halafu linakuja liJitu kutoka nanyumbu au ileje linasema Mou hapewi hela.Wachezaji Aliowasajili Mourinho tokea Ajiunge na Man United:
√ Paul Pogba (£94.5m)
√ Eric Bailly (£34m)
√ Henrikh Mkhitaryan (£37.8m)
√ Zlatan Ibrahimovic (Free)
√ Romelu Lukaku (£76.2m)
√ Nemanja Matic (£40m)
√ Victor Lindelof (£31.5m)
√ Alexis Sanchez (Swap)
√ Fred (£53m)
√ Diogo Dalot (£19m)
√ Lee Grant (£1.5m)
Jumla = £387.5m
Hapo Ndiyo mvutano unapoanzia baina Ya Wale Wanaodai Mourinho hapewi Pesa na Bodi na Wale Wanaosema Pesa Kapewa lakini Kanunua Wachezaji Ambao Kashindwa Kuwatumia.
Hivi Ni Kweli Mtu aliyepewa £387.5m na Kununua Wachezaji anaoishia Kuwaweka Benchi anapata wapi ujasiri Wa Kusema Hajapewa Pesa?
Mkuu Wahuni Hawajaedit Hiyo Kufanya Fake News? 😀😀😀
Mimi Raiola Huwa Namfananisha na Raisi Wetu Jiwe kwa Kila Kitu 😀😀
Wachezaji Aliowasajili Mourinho tokea Ajiunge na Man United:
√ Paul Pogba (£94.5m)
√ Eric Bailly (£34m)
√ Henrikh Mkhitaryan (£37.8m)
√ Zlatan Ibrahimovic (Free)
√ Romelu Lukaku (£76.2m)
√ Nemanja Matic (£40m)
√ Victor Lindelof (£31.5m)
√ Alexis Sanchez (Swap)
√ Fred (£53m)
√ Diogo Dalot (£19m)
√ Lee Grant (£1.5m)
Jumla = £387.5m
Hapo Ndiyo mvutano unapoanzia baina Ya Wale Wanaodai Mourinho hapewi Pesa na Bodi na Wale Wanaosema Pesa Kapewa lakini Kanunua Wachezaji Ambao Kashindwa Kuwatumia.
Hivi Ni Kweli Mtu aliyepewa £387.5m na Kununua Wachezaji anaoishia Kuwaweka Benchi anapata wapi ujasiri Wa Kusema Hajapewa Pesa?
Mkuu ni kweli Mou amesajili wachezaji hao ulio wataja. Unapo sema anasajili wachezaji halafu anaishia kuwaweka benchi naona hauko sahihi. Katika wachezaji wote alio wasajili hapo ni Linderlof ndio alisubiri benchi na Lee grant maana inajulikana amekuja kama kipa namba tatu. Msimu wa kwanza alimsajili Baily,Mikh,Pogba na IBRA. IBRA alikuja kwa short term plan. Mikh ligi ndio imemshinda (sio kitu cha ajabu) . Msimu wa pili kaongeza Linderlof,Matic, Lukaku January akaja Sanchez kwa swap. Ila tuangalie timu aliyo ikuta ilikuwa ina hitaji additions au Reformation? Kwa upande wangu naona sehemu kubwa ya wachezaji walio kuwepo hawastahili kucheza man utd. Kwa hiyo ilibidi timu isukwe upya.Wachezaji Aliowasajili Mourinho tokea Ajiunge na Man United:
√ Paul Pogba (£94.5m)
√ Eric Bailly (£34m)
√ Henrikh Mkhitaryan (£37.8m)
√ Zlatan Ibrahimovic (Free)
√ Romelu Lukaku (£76.2m)
√ Nemanja Matic (£40m)
√ Victor Lindelof (£31.5m)
√ Alexis Sanchez (Swap)
√ Fred (£53m)
√ Diogo Dalot (£19m)
√ Lee Grant (£1.5m)
Jumla = £387.5m
Hapo Ndiyo mvutano unapoanzia baina Ya Wale Wanaodai Mourinho hapewi Pesa na Bodi na Wale Wanaosema Pesa Kapewa lakini Kanunua Wachezaji Ambao Kashindwa Kuwatumia.
Hivi Ni Kweli Mtu aliyepewa £387.5m na Kununua Wachezaji anaoishia Kuwaweka Benchi anapata wapi ujasiri Wa Kusema Hajapewa Pesa?
Timu tajiri mnaanza kubana matumizi kama Wenga, Mtakuwa tu kama Arsenal hivi karibuni. Ligi ya Uingereza ni kununua wachezaji bora kwenda mbele, usipofanya hivyo mtabaki kutimua makocha mpaka mchoke. MO hana shida atawasubiria tu mvunje mkataba anasubiriwa na timu nyingiMwaka wa tatu huu yeye anaunda timu ambayo hadi sasa hajajua wacheze vipi halafu unasema apewe rungu gani nyingine.
Yeye kila msimu anataka kuingiza zaidi ya wachezaji 3-5 kwenye kikosi cha kwanza,afundishe soka na si vinginevyo.
Ndugu tatizo la MU ni la zamani tangu atoke Ferguson, Moyes, Van Gal na sasa Mo hawapewi wanachokitaka kama makocha, Just fukuza, lakini msipowasikiliza makocha you are and you will be the next ArsenalMechi dhidi ya Brighton full backs waliocheza ni wale wale waliosajiliwa na Mourinho ambao ni Bailly na Lindelof. Na hao mabeki sio kwamba ni wabaya, ndo maana alikimbilia kuwasajili. Tatizo ni kwamba anashindwa kuwatumia.