Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Nimegundua pia hilo. Labda itakuwa ni kwa msimu huu tu.Tatizo ni jezi tunayotumia (fulana) ina rangi nyeusi kwa chini hivyo haipatani na bukta nyeupe
Vipi kuhusu soksi hujagundua tu kwamba soksi zenye rangi nyekundu nao sio utamaduni wetu uliozoeleka
Kawaida ni fulana nyekundu,bukta nyeupe na soksi nyeusi
Ndio mkuuNimegundua pia hilo. Labda itakuwa ni kwa msimu huu tu.
Timu inao wataalam, ni kazi ya kocha kuwa-organize. Awaache vijana wacheze mpira. Midfiielders wapo wazuri kuanzia Scott, Perreira, Fred, Herrera, Matic mpaka Pogba. Vijana wanajua, sema approach ya mwalimu ndiyo inakuwa ishuPerreira nimemkubali sana akirudi matic kiungo kipo timamu hata fred kaonesha kuna kitu trust mkuu jamaa yupo sawa
Mkuu tafuta ie mechi uingalie vizuri bila tension kisha uje utoe comments zakoWe jamaa vipi..kigoli uchwara kile, wewe ndo unaona amefanya kazi...sanchez huyu akuna kitu anakifanya uwanjani,na angekuwa kocha mwingine mwenye akili,hata namba hapati kwa mpira anaocheza..anacheza utafikiri mnywa gongo
Tangu ligi ianze ni Man Utd pekee ndio hajawahi kupoteza mchezo hata mmoja. Hawa jamaa wanaweza maliza ligi bila kupoteza. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Herera atakuwa mbadala wa Fred na Matic. Hao ndiyo watakuwa wanaanza pamoja na Pogba kwenye midHerrera hatokuwa anamuweka benchi fred..ngoja utaona..
Niangalie mechi mara ngapi??..sanchez anacheza ovyoMkuu tafuta ie mechi uingalie vizuri bila tension kisha uje utoe comments zako
ndio ivyo na mashabiki dunia nzima wanamuunga mkono kwa sasa na kuipinga bodi nzima ya kina edMou mjanja sana.
Katafuta sababu kaipata
Hata timu ikijafanya vibaya basi keshapata kisingizio
He knows how to cover his ass
watu kama nyie ni wa kupigwa kama yule mwandishi wa habari tu...fred anapiga pasi inawapita wachezaji watatu na inamfikia mhusika we unasema hajui mpiraFred hajui mpira....sorry to say
hawa vilaza wanatoka wapi humu jamani.....hivi hamjui game kumkataa mtu na siku iyo game kumkubali mtuSanchez tatizo kubwa...hajui kabisa kutoa pasi.
Niangalie mechi mara ngapi??..sanchez anacheza ovyo
Tembelea forum kubwa duniani za mashabiki wa man united uone comment zao
wamebadilika wamehamia kwa wachezaji sasaWale Waliokuwa Wakim-criticize Morinho naona wamenyamazishwa Kiaina!! Wanasubiri Siku atakayoDraw tu uwaone watakavyotiririka Hapa 😀😀😀
Alexis wanted to take the penalty..Pogba took the ball and asked him
Naamini hatukumsajili sanchez aje acheze hivi,wewe unavyosema kuwa alikuwa vizuri..