Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Wakuu Vipi! Mourinho anavizia Kudefend Nini? Naona Mchezo umeshabadilika!!!
Siongelei siasa..naongelea kule kwa KlopMimi Hunikuti Kwenye Nyuzi Za Siasa tu Kwasababu I Hate Politics ! Lakini Kwenye Nyuzi Za Soccer Huwa Ninazitembelea Zote Na Sio Hapa tu Hata Kwa Arsenal & Chelsea utanikuta.
Safi sana mkuu,, karbu tushangilia ushindi wetu wa kwanza leoMimi Hunikuti Kwenye Nyuzi Za Siasa tu Kwasababu I Hate Politics ! Lakini Kwenye Nyuzi Za Soccer Huwa Ninazitembelea Zote Na Sio Hapa tu Hata Kwa Arsenal & Chelsea utanikuta.
Siongelei siasa..naongelea kule kwa Klop
Apewe muda Zaidi, kuna kitu scout walikiona. Hawezi kusajiliwa Man U mtu asiyejua mpira.Fred hajui mpira....sorry to say
Bebe alikuwa anajua??Apewe muda Zaidi, kuna kitu scout walikiona. Hawezi kusajiliwa Man U mtu asiyejua mpira.
Mbona kwenye game na Madrid alipafomu fresh tu,,Muda utaongea mkuuFred hajui mpira....sorry to say
Daaa hii mechi nimeikosa kwa kuamini kifurushi changu cha 19 kingeniwezesha kuona mechi nyumbani
Doh asante sana ndugu,nacheki tu live score hapaHahaha,pole mkuu
Fred hajui mpira....sorry to say

Fred kapoteza mipira mingi sana.yule pereira hata anamshinda.Aiseeh wewe ndo yawezekana hata hujawahi kuucheza.. F17Ed hajui?![]()
Mechi wanaonyesha kwa kifurushi hicho cha 19, mimi hapa nipo natizama game ss3Daaa hii mechi nimeikosa kwa kuamini kifurushi changu cha 19 kingeniwezesha kuona mechi nyumbani